Jumatano, 23 Oktoba 2019

Wimbo wa Kanisa Wewe tu Unaweza Kuniokoa Mimi


Wimbo wa Kanisa 

Wewe tu Unaweza Kuniokoa Mimi

  • I
  • Mnyenyekevu na Uliyejificha,
  • Waambatana na watu katika matatizo yao,
  • Ukiwapa njia ya uzima wa milele.
  • Unawapenda binadamu kama mwili Wako mwenyewe.
  • Na Wastahili upendo wao.
  • Afadhali Uteseke Mwenyewe,
  • ili Umwezeshe mwanadamu apate faida.
  • Na Wanyesha uzima juu yao.
  • Moyo Wako unapendeza kweli,
  • Wewe ni mwenye haki sana
  • na Wastahili sifa ya mwanadamu.
  • Maneno Yako yanitwaa.
  • Hukumu Yako yanitakasa.
  • Wewe pekee Waweza niokoa.
  • Unanipogoa na kunishugulikia,
  • kunijaribu na kuniboresha.
  • Wewe tu Waweza kunikamilisha. Wewe tu.
  • II
  • Upendo Wako wanibeba kupitia njia ya dhiki,
  • na ninaonja utamu.
  • Ukifahamu mwanadamu ni mnyonge,
  • Wewe waweza kuwaelewa.
  • Mwanadamu angewezaje kukusahau Wewe?
  • Unaishi na watu na kuwaongoza binafsi (binafsi),
  • ukiwapa kitu cha kutegemea (kitu cha kutegemea).
  • Wateseka kwanza, ukiwa mfano kamili.
  • Na upendo Wako u kati ya mwanadamu.
  • Maneno Yako yanitwaa.
  • Hukumu Yako yanitakasa.
  • Wewe pekee Waweza niokoa.
  • Unanipogoa na kunishugulikia,
  • kunijaribu na kuniboresha.
  • Wewe tu Waweza kunikamilisha.
  • III
  • Upendo Wako ni wa thamani, na wapendeza sana.
  • Umeacha hisia Zako za kweli kati ya mwanadamu.
  • Kama ningekuamini lakini nisikupe moyo wangu wote,
  • ningeishi maisha yangu nikijuta.
  • Ikiwa ningekuamini lakini nisiwe mwaminifu,
  • basi ningekuwaje mwanadamu?
  • (Hah ... hah ... hah ... hah ...)
  • Maneno Yako yanitwaa.
  • Hukumu Yako yanitakasa.
  • Wewe pekee Waweza niokoa.
  • Unanipogoa na kunishugulikia,
  • kunijaribu na kuniboresha.
  • Wewe tu Waweza kunikamilisha.
  • Upendo Wako ni wa thamani, na wapendeza sana.
  • Umeacha hisia Zako za kweli kati ya mwanadamu.
  • Wewe tu Waweza kuniokoa.
  • Ni Wewe tu Unayeweza kunikamilisha.
  •  
  • kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni