Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mbinguni. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mbinguni. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 29 Desemba 2018

5. Unahitaji Kusadiki Vipi Mungu Ili Kuweza Kuokolewa na Kufanywa Kuwa Mtimilifu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Sura ya 4 Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho

5. Unahitaji Kusadiki Vipi Mungu Ili Kuweza Kuokolewa na Kufanywa Kuwa Mtimilifu?

Maneno Husika ya Mungu:
Kufanya muhtasari wa kuishika njia ya Petro katika kumwamini Mungu, ni kuishika njia ya kufuatilia ukweli, ambayo pia ni njia ya kujijua na kubadilisha tabia ya mtu. Ni kwa kuishika tu njia ya Petro ndio mtu atakuwa anashika njia ya kukamilishwa na Mungu. Mtu lazima aelewe hasa jinsi ya kuishika njia ya Petro na jinsi ya kuiweka katika vitendo. Kwanza, mtu lazima aweke kando madhumuni yake mwenyewe, shughuli zisizofaa, na hata familia yake na vitu vyote vya mwili wake.

Jumapili, 18 Februari 2018

Gospel Latest Movie Video Swahili "Wakati Wa Mabadiliko"


Gospel Latest Movie Video Swahili "Wakati Wa Mabadiliko"


Utambulisho


Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Filamu za Injili,
Wakati Wa Mabadiliko
   Su Mingyue ni mhubiri wa kanisa la nyumbani huko bara China. Kwa miaka, amekuwa mtumishi aliyejitolea wa Bwana anayesisitiza kufanya kazi ya kuhubiri kwa ajili ya Bwana na kubeba mzigo wa kazi kwa ajili ya kanisa. Anaongozwa na neno la Paulo katika Biblia, akihisi kwamba kuamini tu katika Bwana kunatosha kuitwa mwenye haki na kuokolewa kwa neema. Ingawa mwanadamu bado hutenda dhambi bila kusita, dhambi zake zimesamehewa na Bwana, taswira yake itabadilishwa mara moja na kuwa takatifu na atainuliwa kwenda katika ufalme wa mbinguni Bwana atakapowasili. Hata hivyo, katika miaka ya hivi majuzi, kanisa limezidi kuwa lenye huzuni, waumini wamekuwa hasi na wanyonge kwa jumla, imani na upendo wao umepoa.Wafanyakazi wenza wengine huongozwa na neno la Bwana: "Si kila mtu aniitaye, Bwana, Bwana, ataingia katika ufalme wa mbinguni; lakini yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni" Wanashuku fikira kwamba "Bwana anapokuja, Ataibadili taswira ya mwanadamu mara moja na kumuinua kwenda katika ufalme wa mbinguni." Wanahisi kwamba kwa kuwa bado tunatenda dhambi siku zote, tunashindwa kufikia utakatifu kwa kiwango kikubwa na kutotii mapenzi ya Mungu, tunawezaje kuinuliwa kwenda katika ufalme wa mbinguni Bwana atakapokuja? Baada ya kuwasiliana na kujadili, Su Mingyue anahisi kwamba, kuna mkanganyiko mengine kati ya maneno ya Bwana na wazo la Paulo la kubadilisha taswira ya mwanadamu mara moja Bwana ajapo. Ni wazo gani lililo sahihi hata hivyo? Su Mingyue yuko katika hali ya mtanziko na kuchanganyikiwa moyoni. Ili kupata kanisa lililo na kazi ya Roho Mtakatifu ili kutatua mkanganyiko tendaji wake, ili asiachwe na Bwana, Su Mingyue anaamua kulichunguza Umeme wa Mashariki. Kupitia kujadiliana na kuwasiliana na wahubiri wa Kanisa la Mwenyezi Mungu, Su Mingyue na wengine hatimaye wanaelewa njia ya pekee ya kuingia katika ufalme wa mbinguni …

    Soma Zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu