Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Injili-Ya-Ufalme. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Injili-Ya-Ufalme. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 27 Februari 2019

Neno la Mungu | “Ngurumo Saba Zatoa Sauti—Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni”


Neno la Mungu | “Ngurumo Saba Zatoa Sauti—Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni”
Mwenyezi Mungu anasema, “Wakati nuru ya Mashariki inapong’aa polepole tu ndipo giza kote duniani litaanza kugeuka na kuwa nuru, na hapo tu ndipo mwanadamu atatambua kwamba Nilishatoka Israeli zamani na Nimeanza kuchomoza upya Mashariki. Niliwahi kushuka Israeli na baadaye Niliondoka kutoka huko, Siwezi tena kuzaliwa Israeli kwa mara nyingine, kwa kuwa kazi Yangu inauongoza ulimwengu mzima na, zaidi ya hilo, umeme unamulika moja kwa moja kutoka Mashariki kwenda Magharibi.

Jumatano, 12 Desemba 2018

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days


Kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho imevuma katika kila farakano na kikundi. Kufuatia kuenea kwa injili ya ufalme, maneno ya Mwenyezi Mungu yanakubaliwa na kuenezwa na watu zaidi na zaidi, waumini wa kweli katika Mungu ambao wana kiu ya Yeye kuonekana wamekuwa wakirudi mmoja kwa mmoja mbele ya kiti cha enzi cha Mungu.

Jumatatu, 8 Oktoba 2018

nyimbo za kusifu na kuabudu | Anga Hapa ni Samawati Sana

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, nyimbo za sifa


Hii hapa anga,
anga iliyo tofauti sana!
I
Harufu ya kupendeza inasambazwa kote kwenye nchi, na hewa ni safi.
Mwenyezi Mungu alikuwa mwili na anaishi miongoni mwetu,
Akionyesha ukweli na kuanza hukumu ya siku za mwisho.
Maneno ya Mungu yanaweka wazi ukweli wa upotovu wetu,
tunatakaswa na kukamilishwa na kila aina ya jaribio na usafishaji.
Tunayaaga maisha yetu maovu na kubadilisha sura yetu ya zamani kuwa sura mpya.

Jumanne, 11 Septemba 2018

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies

🎬👀👍 **********     💓💓💓~~~~🎼🎼     → → 🎙️🎙️

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies


Siku moja huenda nikakamatwa na kuteswa na CCP,
kuteseka huku ni kwa ajili ya haki, ambayo najua moyoni mwangu.
Maisha yangu yakitoweka mara moja ghafla bin vu,
bado nitasema kwa fahari kwamba nimemkubali Kristo wa siku za mwisho.
Ikiwa siwezi kuona tukio kuu la ukuaji wa injili ya ufalme,
bado nitatoa matarajio mazuri zaidi.

Jumatano, 25 Aprili 2018

Neno la Mungu "Ngurumo Saba Zatoa Sauti - Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni"


Neno la Mungu "Ngurumo Saba Zatoa Sauti - Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni"


Utambulisho


Mwenyezi Mungu alisema, “Wakati nuru ya Mashariki inapong’aa polepole tu ndipo giza kote duniani litaanza kugeuka na kuwa nuru, na hapo tu ndipo mwanadamu atatambua kwamba Nilishatoka Israeli zamani na Nimeanza kuchomoza upya Mashariki. Niliwahi kushuka Israeli na baadaye Niliondoka kutoka huko, Siwezi tena kuzaliwa Israeli kwa mara nyingine, kwa kuwa kazi Yangu inauongoza ulimwengu mzima na, zaidi ya hilo, umeme unamulika moja kwa moja kutoka Mashariki kwenda Magharibi. Hii ndiyo sababu Nimeshuka Mashariki na kuwaletea watu wa Mashariki Kanaani. Ningependa kuwaleta watu kutoka dunia nzima waje katika nchi ya Kanaani, na kwa hiyo Naendelea kutoa maneno Yangu katika nchi ya Kanaani ili kuudhibiti ulimwengu mzima. Kwa wakati huu, hakuna nuru katika dunia nzima isipokuwa katika Kanaani, na watu wote wamehatarishwa na njaa na baridi. Niliipa Israeli utukufu Wangu kisha Nikauchukua na baadaye Nikawaleta Waisraeli Mashariki, na vilevile ubinadamu wote Mashariki. Nimewaleta wote kwenye nuru ili waweze kuungana tena nayo, na kushirikiana na nuru, na wasilazimike kuitafuta tena.”

Alhamisi, 30 Novemba 2017

Ngurumo Saba Zatoa Sauti— Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Ngurumo Saba Zatoa Sauti— Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni


Mwenyezi Mungu alisema, Mimi Naeneza kazi Yangu katika nchi za Mataifa. Utukufu Wangu unamulika kotekote ulimwenguni; mapenzi Yangu yamo katika mtawanyiko wa wanadamu, wote wakiongozwa kwa mkono Wangu na kufanya kazi ambayo Nimewapa. Kuanzia wakati huu kuendelea, Nimeingia katika enzi mpya, kuwaleta watu wote katika ulimwengu mwingine. Niliporudi katika “nchi Yangu,” Nilianza sehemu nyingine tena ya kazi katika mpango Wangu wa asili, ili mwanadamu aje kunijua zaidi.