Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo siku za mwisho. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo siku za mwisho. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 30 Septemba 2018

Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs


🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓

Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs

Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
na hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
Si kupita kiasi kusema hivyo,
kwani Ana kiini cha Mungu, Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake,
ambayo haifikiwi na mwanadamu.

Alhamisi, 15 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Tisa

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Tisa

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu,
Tamko la Ishirini na Tisa

Mwenyezi Mungu alisema, Siku hiyo ambayo vitu vyote vilifufuliwa, Nilikuja miongoni mwa wanadamu, na Nimeshinda naye kwa siku zilizokuwa za ajabu usiku na mchana. Ni katika hatua hii tu ndipo mwanadamu anaona wepesi Wangu wa kufikiwa, na vile uhusiano wake na Mimi unavyozidi kuwa mwingi, anaona baadhi ya kile Ninacho na Nilicho—na kwa sababu hii, anapata ufahamu kunihusu. Miongoni mwa watu wote, Ninainua kichwa Changu na kutazama, na wote wananiona. Hata hivyo, wakati maafa yanaikumba dunia, wanakuwa na wasiwasi mara moja, na sura Yangu inatoweka kutoka katika nyoyo zao; wakishikwa na hofu kutokana na kufika kwa maafa, hawasikii kusihi Kwangu. Nimepita kati ya wanadamu kwa miaka mingi, lakini hajawahi kufahamu hili, na hajawahi kunijua.