Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Upendo-wa-Bwana. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Upendo-wa-Bwana. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 12 Oktoba 2018

Swahili Christian Music Video | "Ni Watu Waaminifu Pekee Walio na Mfano wa Binadamu"



Kwa ajili ya faida niliacha viwango vyote vya mwenendo, na bila haya nikatumia udanganyifu kutafuta riziki yangu. Sikujali chochote kuhusu dhamiri au maadili, chochote kuhusu uadilifu au heshima. Niliishi tu kuridhisha tamaa na uroho wangu vilivyozidi kukua. Kwa moyo usio na amani, nilitembea katika matope ya dhambi, bila njia yoyote ya kuepuka giza hii isiyo na mipaka. Utajiri wa maisha na raha za muda mfupi hazingeweza kuficha utupu na maumivu ndani ya moyo wangu. Ni rahisi kuandika neno "mwanadamu."

Jumapili, 3 Juni 2018

Umeme wa Mashariki | New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana


New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana


Utambulisho


I
Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.
Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?
Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?
Wewe ndiye Unayenipa upendo.
Wewe ndiye Unayenijali.
Wewe ndiye Unayefikiri kunihusu kila wakati.
Wewe ndiye Unayehifadhi maisha yangu.
Mwezi, rudi upande ule mwingine wa anga.
"Usimfanye mpenzi wangu angoje sana.
Tafadhali mwambie nimemkosa Yeye sana."
Usisahau kwenda na upendo wangu.

Jumatano, 7 Februari 2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III | 4. Samehe Sabini Mara Saba | 5. Upendo wa Bwana

Umeme wa Mashariki | 4. Samehe Sabini Mara Saba | 5. Upendo wa Bwana

4. Samehe Sabini Mara Saba
(Mat 18:21-22) Kisha Petro akamwendea, na akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi na mimi nimsamehe? Mpaka mara saba? Yesu akamwambia, Sikuambii mpaka mara saba: bali, mpaka sabini mara saba.
5. Upendo wa Bwana
(Mat 22:37-39) Yesu akamwambia, Umpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. Hii ndiyo amri ya kwanza na iliyo kuu. Na ya pili inafanana nayo, Umpende jirani yako kama nafsi yako.
Mwenyezi Mungu alisema, Kati ya dondoo hizi mbili, moja yazungumzia msamaha na nyingine inazungumzia upendo. Mada hizi mbili zinaangazia kwa kweli kazi ambayo Bwana Yesu alitaka kutekeleza katika Enzi ya Neema.