Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Gospel-Movie-clip. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Gospel-Movie-clip. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 5 Septemba 2018

swahili worship songs | Wimbo wa Kifuasi cha Dhati

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, nyimbo za sifa,

  • I
  • Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
  • Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.
  • Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote.
  • Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.
  • Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
  • Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.

Jumapili, 13 Mei 2018

Gospel Movie Clip “Siri ya Utauwa” (3) - Siri ya Kupata Mwili kwa Mungu

Gospel Movie Clip “Siri ya Utauwa” (3) - Siri ya Kupata Mwili kwa Mungu

Utambulisho

Katika Enzi ya Neema, Mungu alipata mwili na akawa Bwana Yesu aliyekuja kuwakomboa wanadamu, na Mafarisayo wa Kiyahudi wakasema kwamba Bwana Yesu alikuwa mwanadamu tu. Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili na amekuwa Mwenyezi Mungu ambaye Amekuja kufanya kazi Yake ya hukumu, wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini pia wanasema kwamba Mwenyezi Mungu ni mwanadamu tu, kwa hiyo tatizo ni lipi hapa? Kwa upande wa nje, Mungu mwenye mwili Anaonekana kuwa mtu wa kawaida. Lakini ndani Roho wa Mungu anaishi ndani Yake;

Umeme wa Mashariki | Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (2) - Je, Bwana Atampa Mwanadamu Ufunuo Wakati Atarudi?

Umeme wa Mashariki | Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (2) - Je, Bwana Atampa Mwanadamu Ufunuo Wakati Atarudi?

Utambulisho

Wachungaji na wazee wengi wa kanisa, kwa kuwa wamemwamini Mungu kwa miaka mingi, wamemfanyia Bwana kazi kwa bidii sana na wamekesha kila mara, wakingoja kurudi kwa Bwana, wanaamini kwamba wakati Bwana atakuja Atawapa ufunuo bila shaka. Je, maoni haya yanapatana na ukweli wa kazi ya Mungu? Je, Mungu atampa mwanadamu ufunuo haswa wakati Atapata mwili? Mwenyezi Mungu asema, "Mwanadamu haitafiti kazi mpya ya Mungu kwa utunzaji wala haikubali na unyenyekevu;