Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-Anaongoza. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-Anaongoza. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 18 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Kuibuka kwa Marekani na Misheni Yake

Umeme wa Mashariki | Kuibuka kwa Marekani na Misheni Yake

Wapuriti walitetea dhana za uhuru, usawa, na demokrasia pamoja na mafundisho ya Mungu. Pia walichanganya Azimio la Uhuru la Marekani na Katiba ya Marekani na mambo haya. …Kwa hiyo Wapuriti hakuwa tu kiini cha uanzishwaji wa Marekani, lakini pia walikuwa waasisi walioifanya Marekani kuwa kuu.…Marekani imetekeleza jukumu muhimu katika kuimarisha hali ya kimataifa na kusawazisha utaratibu wa dunia. Jukumu hili haliwezi kufidika katika kulinda na kuimarisha hali ya kimataifa.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kumcha Mungu,
Kuibuka kwa Marekani na Misheni Yake

Jumapili, 24 Desemba 2017

Ishini Katika Upendo wa Mungu | Dansi ya Sifa "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Kanisa la Mwenyezi Mungu


Ishini Katika Upendo wa Mungu | Dansi ya Sifa "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Kanisa la Mwenyezi Mungu


Utambulisho
Wimbo wa Mapenzi Matamu

Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako.

Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote.

Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi.

Mimi hujisogeza kulingana na macho Yako; mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu.

    

Upendo wa Mungu na wokovu | “Kutanafusi kwa Mwenye Uweza” Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho

    Mwenyezi Mungu alisema, "Mwanadamu, ambaye aliacha kupokea uzima wake kutoka kwa Mwenye Uweza, hajui ni kwa nini anaishi, na bado anaogopa kifo. Hukuna usaidizi, wala msaada, lakini mwanadamu bado anasita kufumba macho yake, akiyakabili yote bila woga, kuishi katika maisha yasiyokuwa na maana katika ulimwengu ndani ya miili isiyokuwa na utambuzi wa roho. Unaishi hivyo, pasipo tumaini; anaishi hivyo, pasipo kuwa na malengo.

Jumamosi, 23 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Saba

 Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
 Umeme wa Mashariki | Tamko La Ishirini Na Saba

  Umeme wa MasharikiTamko la Ishirini na Saba

Mwenyezi Mungu alisema, Mienendo ya binadamu haijawahi kuugusa moyo Wangu kamwe, wala kuonekana Kwangu kama kitu cha thamani. Machoni mwa mwanadamu, Mimi humweka katika sheria kali kila wakati, na kila mara Nimemweka chini ya mamlaka kali. Ndani ya matendo yote ya mwanadamu, ni mambo machache sana anayonifanyia Mimi, na mara nyingi hapana kitendo chake kisimamacho imara machoni Pangu. Hatimaye, kila kitu kinachomhusu mwanadamu kimeporomoka polepole mbele Yangu, na ni katika nyakati kama hizi ndipo matendo Yangu hudhihirika, na kumfanya kila mmoja, katika upotovu wake, kunitambua Mimi. Hali ya mwanadamu haibadiliki kamwe. Kilicho ndani ya mioyo yao sio kulingana na mapenzi Yangu—sio Ninachohitaji.

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Moja

Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini na Moja

Mwenyezi Mungu alisema, Mwanadamu huanguka katikati ya mwanga Wangu, na anasimama imara kwa sababu ya wokovu Wangu. Niletapo wokovu ulimwenguni kote, mwanadamu hujaribu kutafuta njia za kuingia miongoni mwa mtiririko wa marejesho Yangu, ilhali kuna watu wengi ambao huoshwa wasijulukane waliko na gharika hii ya urejesho; kuna watu wengi ambao wamezama na kumezwa na mafuriko haya na kuna watu wengi pia ambao husimama imara huku kukiwa na mafuriko, ambao hawajawahi kupoteza hisia zao za mwelekeo, na ambao wamefuata mafuriko mpaka sasa.

Ijumaa, 22 Desemba 2017

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Kristo ndiye Chanzo cha Uhai na Vile Vile Bwana wa Biblia


“Bwana Wangu Ni Nani” – Ni Wale Tu Wanaofuata Nyayo za Mungu Ndio Wanaweza Kufikia Njia ya Uzima wa Milele | Filamu za Injili 

Utambulisho
    Biblia imejaa maneno ya Mungu na vile vile uzoefu na ushuhuda kutoka kwa mwanadamu ambao unaweza kutupa uhai na ni yenye manufaa sana kwetu. Bwana Yesu alisema, “Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima: Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, bado ataishi: Na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele.” (Yohana 11:25-26). Lakini kwa nini, baada ya miaka 2,000, hakuna kati ya wale walio na imani katika Bwana ambao wamesoma Biblia wamewahi kupata uzima wa milele?

Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song



Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song
Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki vinakua ulimwenguni kote, ikitukuka sana kati ya wanadamu wote. Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza. Ni nani asiyesherehekea? Ni nani asiyetoa machozi? Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; jua linaaangaza kotekote.

Alhamisi, 21 Desemba 2017

Mungu ni Mkuu | "Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya


Mungu ni Mkuu |"Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya

Utambulisho
Upendo wa Kweli wa Mungu
Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
Moyo wangu una mengi ya kusema
ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Neno Lake linanijaza na raha
na furaha kutoka kwa neema Yake.!--more-->
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Nataka kuwa na shauku ya neno Lako
katika siku zangu zote.
Nakutazamia, Mungu wangu, kwa mwanga katika kila njia.
Unawanyunyizia na kuwastawisha watu Wako kwa upendo.
Unatuongoza mbali na ushawishi wa ibilisi wa kupotosha.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!

Ndugu! Tuinukeni na tusifu!
Tuutunze wakati huu tunaoshirikiana pamoja.
Tukiwa huru kutokana na minyororo ya mizigo ya mwili,
hebu tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu
katika matendo halisi,
tutimize wajibu wetu kwa moyo na nuvu.
Tunakupenda, Mwenyezi Mungu! Hatutawahi kukuacha!
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.

Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
    
   Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Yote kuhusu Mjadala wa “Iwapo Biblia Inatiwa Msukumo na Mungu


Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Yote kuhusu Mjadala wa “Iwapo Biblia Inatiwa Msukumo na Mungu

Utambulisho
    Kwa miaka elfu mbili, dunia ya kidini imetegemea kile alichosema Paulo kuhusu Biblia kutiwa msukumo na Mungu na daima iliamini kwamba “Biblia ni maneno ya Mungu,” na “Biblia inamwakilisha Bwana.” Je, mawazo haya ni sahihi? Video hii itafichua majibu kwako!

Jumatano, 20 Desemba 2017

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani-Kanisa la Ukiwa Linatiwa Nguvu



Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani-Kanisa la Ukiwa Linatiwa Nguvu


Utambulisho
    ya ndugu katika pahali pa mkutano pa kanisa la Mzee wa Kanisa Liu Zhizhong kutupilia mbali pingu za Biblia, walisoma mtandaoni kuhusu kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Kwa kusoma maneno ya Mwenyezi Mungu, walistawishwa kwa maji hai ya maisha, na waliweza kurudisha imani na upendo wao wa asili na kuthibitisha ndani ya mioyo yao kwamba Mwenyezi Mungu ndiye kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu.

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Je, Kazi na Maneno Yote ya Mungu Yamo katika Biblia?



Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Je, Kazi na Maneno Yote ya Mungu Yamo katika Biblia?

tambulisho

    Dunia nzima ya kidini yote huamini kwamba kazi na maneno ya Mungu yote yamo katika Biblia, na kwamba isipokuwa Biblia, hakuna maneno yaliyonenwa na Mungu na kazi Yake. Kwa hiyo, ili mradi uko mwaminifu kwa Biblia, hili litahakikisha kwamba utaweza kuingia ufalme wa mbinguni. Je, mawazo haya yanapatana na ukweli wa kazi ya Mungu? Kuna maneno ya Mungu nje ya Biblia? Ni nini hasa kitakachomwongoza mwanadamu kuingia ufalme wa mbinguni?

Jumanne, 19 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,

Umeme wa Mashariki | Tamko la Ishirini

Mwenyezi Mungu alisema, Utajiri wa jumba Langu ni bila idadi na usioeleweka, lakini mwanadamu hajawahi kuja Kwangu kuufurahia. Hana uwezo wa kuufurahia mwenyewe, wala wa kujilinda mwenyewe kwa kutumia juhudi zake mwenyewe; badala yake, yeye daima huweka imani yake kwa wengine. Kwa wale wote Ninaowatazamia, hakuna mtu aliyewahi kunitafuta kwa makusudi na moja kwa moja. Wao wote huja mbele Zangu kwa kushawishiwa na wengine, wakifuata halaiki ya watu, na hawana nia ya kulipa gharama au kutumia muda kuimarisha maisha yao. Kwa hivyo, miongoni mwa watu hakuna mtu aliyewahi kuishi katika hali halisi, na watu wote huishi maisha yasiyo na maana.

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Tisa

Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Tisa

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Tisa

Mwenyezi Mungu alisema, Ni shughuli sahihi ya mwanadamu kuchukua maneno Yangu kama msingi wa maisha yake. Mwanadamu lazima aanzishe fungu lake binafsi katika kila sehemu ya maneno Yangu; kutofanya hivyo kutakuwa kuuliza matata, kutafuta maangamizo yake mwenyewe. Binadamu haunijui, na kwa sababu ya hili, badala ya kuleta maisha yake Kwangu badala, anachofanya ni kujipanga tu mbele Yangu na takataka mikononi mwake, na hivyo kujaribu kuniridhisha. Lakini, mbali na kuridhishwa na mambo yalivyo, Naendelea kutoa matakwa kwa binadamu. Napenda sifa za mwanadamu, lakini Nachukia wizi wake. Wanadamu wote wana mioyo iliyojaa ulafi; ni kama moyo wa binadamu unadhibitiwa na Shetani, na mwanadamu hawezi kuponyoka na kutoa moyo wake Kwangu.

Jumatatu, 18 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Nane

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Tamko La Kumi Na Nane

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Nane

 Mwenyezi Mungu alisema,Katika mwako wa umeme, kila mnyama hufichuliwa katika hali yake halisi. Hivyo pia, kama wameangaziwa na mwanga Wangu, wanadamu wamepata tena utakatifu waliokuwa nao wakati mmoja. Oh, ya kwamba dunia potovu ya zamani mwishowe imeanguka na kutumbukia ndani ya maji ya taka na, kuzama chini ya maji, na kuyeyuka na kuwa tope! Ah, ya kwamba binadamu wote Niliouumba hatimaye umerudiwa na uhai tena katika mwanga, kupata msingi wa kuwepo, na kuacha kupambana katika tope! Ah, Mambo mengi ya uumbaji Ninayoyashikilia mikononi Mwangu!

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Saba

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Saba

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Saba

 Mwenyezi Mungu alisema, Sauti Yangu inatoka kama radi, ikitia nuru roboduara zote nne na dunia nzima, na katikati ya radi na umeme, binadamu wanaangushwa chini. Hakuna mwanadamu aliyewahi kusimama imara katikati ya radi na umeme: Wanadamu wengi wanaogopa sana kuja kwa mwangaza Wangu na hawajui cha kufanya. Wakati mwangaza hafifu unaanza kuonekana Mashariki, watu wengi, wakiongozwa na huu mng’ao dhaifu, wanaamshwa mara moja kutoka kwa njozi zao.

Jumapili, 17 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Tatu

Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Tatu

Umeme wa Mashariki | Tamko la Kumi na Tatu

Mwenyezi Mungu alisema,Dhamira Zangu kadhaa zimefichwa ndani ya matamshi ya sauti Yangu. Ila mwanadamu hajui na hafahamu chochote kuhusu haya, huku akiendelea kuyapokea na kuyafuata maneno Yangu kutoka nje bila kung’amua roho Yangu na kuelewa mapenzi Yangu kutoka ndani ya maneno Yangu. Ijapokuwa nimeyaweka maneno Yangu wazi, kuna aliyefahamu? Nilitoka Sayuni Nikaja miongoni mwa wanadamu. Kwa sababu Nimejivisha ubinadamu wa mwanadamu wa kawaida na kujivika ngozi ya mwanadamu, wanadamu hulitambua umbo Langu tu kwa nje ila hawatambui uhai uliomo ndani Yangu, wala hawatambui Mungu Roho, wanajua tu mtu wa mwili.

Umeme wa Mashariki | Tamko La Kumi

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Tamko La Kumi

Umeme wa Mashariki | Tamko La Kumi

Mwenyezi Mungu alisema,Enzi ya Ufalme ni, hata hivyo, tofauti na nyakati za kale. Haihusu kile anachofanya mwanadamu. Badala yake, Mimi binafsi Natekeleza kazi Yangu baada ya kushuka duniani—kazi ambayo wanadamu hawawezi kuelewa wala kufanikisha. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu mpaka leo, miaka hii yote daima imehusu kujenga kanisa, lakini hakuna mtu anayesikia kamwea kuhusu kujenga ufalme. Japokuwa Nazungumza kuhusu haya kwa kinywa Changu mwenyewe, yupo yeyote anayejua asili yake?

Jumamosi, 16 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Tamko la Sita

Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Tamko la Sita

Umeme wa Mashariki | Tamko la Sita

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa masuala ya ndani ya roho, unapaswa kuwa makini kwa utaratibu; kwa maneno Yangu, unapaswa kuwa msikivu kwa makini. Unapaswa kulenga hali ambayo unaona Roho Yangu na nafsi Yangu ya mwili, maneno Yangu na nafsi Yangu ya mwili, kama kitu kimoja kizima kisichogawanyika, na kufanya kuwa binadamu wote wataweza kuniridhisha mbele Yangu.

Umeme wa Mashariki | Tamko La Tano

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu . Kanisa la Mwenyezi Mungu,
Umeme wa Mashariki | Tamko La Tano 

Umeme wa Mashariki | Tamko la Tano

Mwenyezi Mungu alisema, Wakati Roho Wangu anatoa sauti, Anaonyesha hali nzima ya tabia Yangu. Je, wewe unalifahamu hili? Kutolifahamu hili katika hatua hii itakuwa sawa na kunipinga moja kwa moja. Je umeona umuhimu ulioko humu? Je, unajua juhudi kiasi gani, kiasi gani cha nguvu, Ninatumia juu yako? Je, unaweza thubutu kuweka wazi kila ulichofanya mbele Yangu? Na mna ujasiri wa kujiita watu Wangu usoni Mwangu—hamna hisia za aibu, pia, bila mantiki yoyote! Wakati mmoja au mwingine, watu kama hawa watafukuzwa kutoka katika nyumba Yangu. Usithubutu kunidanganya, ukifikiri kwamba umesimama kwa ajili ya ushuhuda Wangu!

Ijumaa, 15 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Kuhusu Majina na Utambulisho

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Yesu,
Umeme wa Mashariki | Kuhusu Majina na Utambulisho

Umeme wa Mashariki | Kuhusu Majina na Utambulisho

Mwenyezi Mungu alisema,Iwapo unataka kufaa kwa ajili ya matumizi na Mungu, lazima uijue kazi ya Mungu; lazima uijue kazi Aliyofanya awali (katika Agano Jipya na la Kale), na, zaidi ya hayo, lazima uijue kazi Yake ya leo. Ndiyo kusema, ni lazima uzitambue hatua tatu za kazi ya Mungu ya zaidi ya miaka 6,000. Ukiulizwa ueneze injili, basi hutaweza kufanya hivyo bila kuijua kazi ya Mungu. Watu watakuuliza yote kuhusu Biblia, na Agano la Kale, na nini Yesu alisema na kufanya wakati huo. Watasema, “Mungu wenu hajawaeleza haya yote? Kama Yeye (Mungu) hawezi kuwaeleza ni nini hasa yanayoendelea kwa Biblia, basi Yeye si Mungu; kama Anaweza, basi tumeamini,” Mwanzoni, Yesu alizungumzia sana Agano la Kale na wanafunzi Wake. Kila kitu walichosoma kilitoka Agano la Kale; Agano Jipya liliandikwa tu miongo kadhaa baada ya kusulubiwa kwa Yesu.