Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Iliunda-vitu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Iliunda-vitu. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 21 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Kazi na Kuingia (1)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Neno la Mwenyezi Mungu,

Neno Laonekana katika Mwili

 Umeme wa Mashariki | Kazi na Kuingia (1)


Mwenyezi Mungu alisema, Tangu watu waanze kuikanyaga njia sahihi ya maisha, kumekuwa na mambo mengi ambayo bado hayajaeleweka vizuri. Bado wapo kwenye mkanganyiko kabisa kuhusu kazi ya Mungu, na kuhusu kiasi gani cha kazi wanapaswa kufanya. Hii, kwa upande mmoja, ni kwa sababu ya kuwa na uelekeo tofauti wa uzoefu wao na mipaka katika uwezo wao wa kupokea; kwa upande mwingine, ni kwa sababu kazi ya Mungu bado haijawaleta watu katika hatua hii. Kwa hiyo, kila mtu anapata utata kuhusu masuala mengi ya kiroho. Sio tu kwamba hamna uhakika kuhusu kile ambacho mnapaswa kuingia kwacho; bali pia ni wajinga kuhusu kazi ya Mungu. Hili ni zaidi ya suala la hasara kwenu. Ni dosari kubwa iliyopo kwa wale walio katika ulimwengu wa dini.

Jumapili, 31 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo | kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

 Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu,  ukweli,
 Umeme wa Mashariki | Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo

8. Umeme wa Mashariki | Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo

Wuxin Mji wa Taiyuan, Mkoa wa Shanxi
Kitu ambacho tumezungumzia mara kwa mara katika ushirikiano wa awali ni njia ambazo zilitembewa na Petro na Paulo. Inasemekana kwamba Petro alizingatia kujijua mwenyewe na kumjua Mungu, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimpenda, ilhali Paulo alizingatia tu kazi yake, sifa na hadhi yake, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimdharau. Daima nimekuwa na hofu ya kuitembea njia ya Paulo, ambayo ndiyo sababu mimi kwa kawaida mara nyingi husoma maneno ya Mungu kuhusu uzoefu wa Petro ili kuona jinsi alivyopata kumjua Mungu. Baada ya kuishi hivi kwa muda, nilihisi kwamba nilikwishakuwa mtiifu zaidi kuliko hapo awali, hamu yangu ya sifa na hadhi ilikuwa imedidimia, na kwamba nilikuwa nimepata kujijua kidogo