Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kurudi-kwa-Bwana-Yesu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kurudi-kwa-Bwana-Yesu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 19 Aprili 2018

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu

Utambulisho

Kwamba Mungu amekuwa mwili
hutikisa ulimwengu wa kidini,
inavuruga utaratibu wa kidini,
na inakoroga roho za wale
wanaongoja kuonekana kwa Mungu.
Nani asiyeshangazwa na haya?
Ni nani asiye na hamu ya kumwona Mungu?
Mungu ameishi kwa miaka mingi kati ya binadamu,
lakini binadamu hafahamu.
Leo, Mungu Mwenyewe ametokea
kufanya upya upendo Wake wa kitambo na mwanadamu.

Jumanne, 28 Novemba 2017

Je, Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu ni Mungu Mmoja?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Yesu,
Je, Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu ni Mungu Mmoja?

Je, Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu ni Mungu Mmoja?

    Mwenyezi Mungu alisema,Wanadamu walipopotoshwa na Shetani, Mungu alianza mpango Wake wa usimamizi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu. Mungu ametekeleza hatua tatu za kazi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu. Wakati wa Enzi ya Sheria, Yehova Mungu alitoa sheria na kuyaongoza maisha ya wanadamu, Akiwafanya watu kujua kwamba wanapaswa kumwabudu Mungu, na kuwafanya wajue dhambi ni nini.Lakini kutokana na ujio wa hatua za mwisho za Enzi ya Sheria, upotovu wa wanadamu ukawa hata wa kina zaidi, na watu mara nyingi walikiuka sheria na kutenda dhambi dhidi ya Yehova.