Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ufalme-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ufalme-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 28 Februari 2019

Wimbo wa Kusifu na Kuabudu 2019 | “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja”

Wimbo wa Kusifu na Kuabudu 2019 | “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja” | Praise and Thank God's Love Uangalie ufalme wa Mungu, ambako Mungu anatawala juu ya yote. Kutoka wakati uumbaji ulipoanza mpaka siku ya sasa, wana wa Mungu waliongozwa wakipitia taabu. Katika milima na mabonde walienda. Lakini sasa katika nuru Yake wanakaa. Nani asiyelia juu ya udhalimu wa jana? Ni nani asiyelia machozi kwa ajili ya maisha magumu leo? Ni nani asiyechukua nafasi hii kutoa mioyo yao kwa Mungu?

Jumanne, 18 Desemba 2018

Filamu za injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last Days


Filamu za injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last Days
Chen Peng alikuwa mchungaji katika kanisa la nyumba fulani. Alikuwa akimtumikia Bwana kwa bidii, na mara nyingi alifanya kazi kama mhubiri, akiwasaidia wafuasi wake, na kulibebea kanisa mizigo mizito. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, kanisa lilizidi kuwa tupu zaidi na zaidi. Waumini walikuwa na roho dhaifu na wavivu, wakikosa mkutano baada ya mkutano. Na hivyo Mchungaji Chen aliona giza likiangukia nafsi yake, kana kwamba kisima cha roho yake kilikuwa kikavu, na hakuweza kuhisi uwepo wa Bwana.

Jumatatu, 12 Novemba 2018

3. Wokovu Unawezekana Tu Kupitia Imani kwa Mwenyezi Mungu.

Sura ya 1 Lazima Ujue Kwamba Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Ambaye Aliumba Mbingu na Dunia na Kila kitu Ndani Yao

3. Wokovu Unawezekana Tu Kupitia Imani kwa Mwenyezi Mungu.

Maneno Husika ya Mungu:
Yesu Alipokuja katika ulimwengu wa mwanadamu, Alileta Enzi ya Neema na Akatamatisha Enzi ya Sheria. Wakati wa siku za mwisho, Mungu kwa mara nyingine Alipata mwili, na Alipopata mwili mara hii, Alikamilisha Enzi ya Neema na Akaleta Enzi ya Ufalme. Wale wote wanaokubali kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili wataongozwa mpaka Enzi ya Ufalme, na wataweza kukubali kibinafsi uongozi wa Mungu. Hata ingawa Yesu Alifanya kazi nyingi miongoni mwa wanadamu, Yeye Alimaliza tu ukombozi wa wanadamu wote na akawa sadaka ya dhambi ya mwanadamu, na Hakumwondolea mwanadamu tabia yake ya upotovu.

Jumapili, 11 Novemba 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Thelathini na Sita

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Umeme wa MasharikiTamko la Thelathini na Sita

Mwenyezi Mungu wa kweli, Mfalme katika kiti cha enzi, hutawala ulimwengu mzima, Anakabiliana na mataifa yote na watu wote, kila kitu chini ya mbingu hung’aa kwa utukufu wa Mungu. Viumbe vyote hai katika miisho ya ulimwengu vitaona. Milima, mito, maziwa, ardhi, bahari na viumbe vyote viishivyo, katika nuru ya uso wa Mungu wa kweli wamefungua mapazia yao, kuhuishwa, kama kuamka kutoka kwa ndoto, kuchipuka kwa kuvunja uchafu!