Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Muziki-wa-Injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Muziki-wa-Injili. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 27 Novemba 2018

Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" | The Word of God Is a Light to Our Path

Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" | The Word of God Is a Light to Our Path

Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele. Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu. Thamani na maana ya maneno Yake yanaamuliwa na kiini chao, sio kama mwanadamu anayakubali au kuyatambua. Hata kama hakuna mwanadamu ulimwenguni anayapokea maneno Yake, thamani yao na usaidizi kwa mwanadamu hayapimiki. Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele. Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.>

Ijumaa, 19 Januari 2018

Swahili Gospel Song | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo

Swahili Gospel Song | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo

Utambulisho

Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini.

Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza.

Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako,

nina amani kabisa.

Unanibariki, Unatoa maneno Yako ya hukumu.

Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako.

Ijumaa, 22 Desemba 2017

Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song

Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song
Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki vinakua ulimwenguni kote, ikitukuka sana kati ya wanadamu wote. Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza. Ni nani asiyesherehekea? Ni nani asiyetoa machozi? Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; jua linaaangaza kotekote.