Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mpango-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mpango-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 9 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Njia... (6)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, upendo wa Mungu,
Umeme wa Mashariki | Njia... (6)


Njia... (6)

Mwenyezi Mungu alisema, Ni kwa sababu ya kazi ya Mungu ndio tumeletwa katika siku hii. Kwa hiyo, sisi sote ni wasaliaji katika mpango wa usimamizi wa Mungu, na kwamba tunaweza kubakizwa mpaka siku hii ni kutiwa moyo kwa hali ya juu kutoka kwa Mungu. Kulingana na mpango wa Mungu, nchi ya joka kuu jekundu inapaswa kuangamizwa, lakini Ninadhani kwamba labda Ameanzisha mpango mwingine, au Anataka kutekeleza sehemu nyingine ya kazi Yake. Kwa hiyo mpaka leo Sijaweza kuueleza kwa dhahiri—ni kama kwamba ni kitendawili kisichofumbuliwa. Lakini kwa jumla, kundi hili letu limejaaliwa na Mungu, na Ninaendelea kuamini kwamba Mungu ana kazi nyingine ndani yetu.

Ijumaa, 26 Januari 2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II | 4. Ayubu Amesikia Kuhusu Mungu kwa Kusikiliza juu ya Sikio

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia,
Ayubu wa kati aliona Mungu chini ya mti

4. Ayubu Amesikia Kuhusu Mungu kwa Kusikiliza juu ya Sikio

(Ayubu 9:11) “Tazama, anapita karibu nami, na mimi simwoni: Tena anapita kwenda mbele, lakini mimi simtambui.”
(Ayubu 23:8-9) “Tazama, naenda mbele, lakini hayuko huko; narudi nyuma, lakini siwezi kumwona; Katika mkono wa kushoto, anapofanya kazi, lakini siwezi kumwona: anajificha katika upande wa mkono wa kuume, hata siwezi kumwona.”
(Ayubu 42:2-6) “Najua ya kwamba unaweza kufanya mambo yote, na ya kuwa hakuna kusudi lako linaloweza kuzuilika. Ni nani yeye anayeficha ushauri bila maarifa? Hivyo, nimesema maneno nisiyoyafahamu; mambo ya ajabu kwangu nisiyoyajua. Sikiliza, nakusihi, nami nitazungumza: Nitauliza kutoka kwako, nawe ujiweke wazi kwangu. Nimesikia habari zako, kwa kusikia kwa masikio: Lakini sasa jicho langu linakuona. Ndiyo sababu najichukia nafsi yangu, na kutubu kwenye vumbi na jivu.”