Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wimbo-wa-Injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wimbo-wa-Injili. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 4 Februari 2019

Wimbo wa Kuabudu | "Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu"

Wimbo wa Kuabudu | "Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu"
Kupitia neno la Mungu la utendaji, unyonge wa mwanadamu na uasi yanahukumiwa na kufichuliwa. Kisha wanadamu wanapokea wanachohitaji Wanaona kuwa Mungu amekuja katika ulimwengu huu wa binadamu. Kazi ya Mungu wa utendaji ina nia ya kumwokoa kila mmoja kutoka kwa ushawishi wa Shetani, kuwaokoa kutoka kwa uchafu na kwa tabia yao iliyopotoshwa na Shetani.

Ijumaa, 9 Novemba 2018

Wimbo za Injili | "Imani ya Kweli Inatokana tu na Kumjua Mungu" | Do You Have True Faith in God?

Wimbo za Injili | "Imani ya Kweli Inatokana tu na Kumjua Mungu" | Do You Have True Faith in God?
Kazi ya Mungu sasa ni kunena, hakuna ishara tena, wala maajabu. Sio Enzi ya Neema. Mungu ni wa kawaida na halisi. Katika siku za mwisho Yeye sio Yesu asiye wa kawaida, lakini ni Mungu wa vitendo katika mwili, hakuna tofauti na mtu. Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu ni kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo. Ndiyo, ni matamshi ya Mungu yanayomshinda na kumkamilisha mtu. Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao. Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua.

Jumatatu, 1 Oktoba 2018

Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu

Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu
Upendo na huruma za Mungu hupenyeza kazi Yake ya usimamizi kwa utondoti. I Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la, Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya. Ikiwa mwanadamu aelewa usimamizi Wake au la, kazi Yake huleta usaidizi na utoaji unaoweza kuhisiwa na wote.

Alhamisi, 21 Desemba 2017

Mungu ni Mkuu | "Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya

Mungu ni Mkuu |"Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya

Utambulisho
Upendo wa Kweli wa Mungu
Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
Moyo wangu una mengi ya kusema
ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Neno Lake linanijaza na raha
na furaha kutoka kwa neema Yake.!--more-->
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Nataka kuwa na shauku ya neno Lako
katika siku zangu zote.
Nakutazamia, Mungu wangu, kwa mwanga katika kila njia.
Unawanyunyizia na kuwastawisha watu Wako kwa upendo.
Unatuongoza mbali na ushawishi wa ibilisi wa kupotosha.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!

Ndugu! Tuinukeni na tusifu!
Tuutunze wakati huu tunaoshirikiana pamoja.
Tukiwa huru kutokana na minyororo ya mizigo ya mwili,
hebu tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu
katika matendo halisi,
tutimize wajibu wetu kwa moyo na nuvu.
Tunakupenda, Mwenyezi Mungu! Hatutawahi kukuacha!
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.

Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
    
   Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.