Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mfano-wa-Kondoo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mfano-wa-Kondoo. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 16 Juni 2018

Umeme wa Mashariki | "Kubisha Hodi Mlangoni" (5) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (2)


Umeme wa Mashariki | "Kubisha Hodi Mlangoni" (5) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (2)


Utambulisho


    Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu" (Yohana 10:27). Kwa dhahiri, Bwana ananena ili kuwatafuta kondoo Wake wakati wa kurudi Kwake. Jambo la muhimu zaidi kwa Wakristo kufanya wanaposubiri kuja kwa Bwana ni kutafuta kusikia sauti ya Bwana. Mtu anawezaje kuitambua sauti ya Bwana, hata hivyo? Kuna tofauti gani kati ya sauti ya Mungu na sauti ya wanadamu?

Jumatano, 7 Februari 2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III | 3. Mfano wa Kondoo Aliyepotea

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Mfano wa Kondoo Aliyepotea

Umeme wa Mashariki | 3. Mfano wa Kondoo Aliyepotea

(Mat 18:12-14) Mnaonaje? Mtu akiwa na kondoo mia moja, na mmoja wao apotee, je, hawaachi wale tisini na tisa, aende milimani, na kumtafuta yule aliyepotea? Na iwapo atapata kumwona, amini nawaambieni, anamfurahia huyo kondoo mmoja zaidi, kuliko wale tisini na tisa ambao hawakupotea. Vivyo hivyo sio mapenzi ya Baba yenu aliye mbinguni, kwamba mmoja wa wadogo hawa aangamie.
Mwenyezi Mungu alisema, Hii ni sitiari—unapata hisia gani kutoka katika dondoo hii? Namna ambavyo sitiari hii inaelezwa inatumia mbinu za lugha katika lugha ya binadamu; ni kitu kilicho ndani ya mawanda ya maarifa ya binadamu.