Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Siri-ya-Utauwa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Siri-ya-Utauwa. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 19 Mei 2018

Gospel Movie Clip "Siri ya Utauwa" (6) - Haja ya Mungu Kuifanya Kazi Yake kwa Njia ya Kupata Mwili


Gospel Movie Clip "Siri ya Utauwa" (6) - Haja ya Mungu Kuifanya Kazi Yake kwa Njia ya Kupata Mwili


Utambulisho


Kwa nini inasemekana kwamba ni ya manufaazaidi Mungu kupata mwili ili kuwaokoa wanadamu? Haja na umuhimu mkuu wa Mungu kupata mwili vinaweza kuonekana wapi? Mwenyezi Mungu asema, "Mwili wa mwanadamu umepotoshwa na Shetani, na wengi wamepofushwa, na kuumizwa sana. Sababu muhimu sana ambayo inamfanya Mungu kufanya kazi katika mwili ni kwa sababu mlengwa wa wokovu Wake ni mwanadamu, ambaye ni wa mwili, na kwa sababu Shetani pia anatumia mwili wa mwanadamu kusumbua kazi ya Mungu. 

Alhamisi, 17 Mei 2018

Gospel Movie Clip "Siri ya Utauwa" (5) - Namna ya Kujua Kwamba Kristo ni Ukweli, Njia na Uzima


Gospel Movie Clip "Siri ya Utauwa" (5) - Namna ya Kujua Kwamba Kristo ni Ukweli, Njia na Uzima


Utambulisho


Kupata mwili kwa Mungu wote wawili wanashuhudia kwamba "Kristo ni ukweli, njia na uzima." Kwa inasemwa kwamba Kristo ni ukweli, njia na uzima? Na wale mitume na watu wakuu wa kiroho waliomfuata Bwana Yesu pia walisema mambo mengi, mambo ambayo ni ya manufaa makubwa kwa mwanadamu, kwa hiyo mbona wao si ukweli, njia na uzima?

Jumanne, 15 Mei 2018

Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (4) - Mungu Mwenye Mwili pekee Ndiye Anaweza Kufanya Kazi ya Hukumu Katika Siku za Mwisho


Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (4) - Mungu Mwenye Mwili pekee Ndiye Anaweza Kufanya Kazi ya Hukumu Katika Siku za Mwisho


Utambulisho


Umeme wa Mashariki unashuhudia kwamba Mungu amepata mwili katika siku za mwisho kufanya kazi ya hukumu Mwenyewe. Lakini kazi ya Mungu katika Enzi ya Sheria ilifanywa kwa kumtumia Musa. Kwa hiyo kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho haiwezi kufanywa kwa namna hiyo hiyo, kwa kuwatumia watu? Kwa nini Mungu anahitaji kupata mwili na kuifanya Mwenyewe? Mwenyezi Mungu asema, "Kazi ya hukumu ni kazi ya Mungu Mwenyewe, kwa hivyo lazima ifanywe na Mungu Mwenyewe kwa kawaida; haiwezi kufanywa na mwanadamu kwa niaba Yake. Kwa sababu hukumu ni kumshinda mwanadamu kupitia ukweli, hakuna shaka kuwa Mungu bado Anaonekana kama kiumbe aliyepata mwili kufanya kazi hii miongoni mwa wanadamu" (Neno Laonekana katika Mwili).
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Hukumu,

Tazama zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jumapili, 13 Mei 2018

Gospel Movie Clip “Siri ya Utauwa” (3) - Siri ya Kupata Mwili kwa Mungu


Gospel Movie Clip “Siri ya Utauwa” (3) - Siri ya Kupata Mwili kwa Mungu


Utambulisho


Katika Enzi ya Neema, Mungu alipata mwili na akawa Bwana Yesu aliyekuja kuwakomboa wanadamu, na Mafarisayo wa Kiyahudi wakasema kwamba Bwana Yesu alikuwa mwanadamu tu. Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili na amekuwa Mwenyezi Mungu ambaye Amekuja kufanya kazi Yake ya hukumu, wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini pia wanasema kwamba Mwenyezi Mungu ni mwanadamu tu, kwa hiyo tatizo ni lipi hapa? Kwa upande wa nje, Mungu mwenye mwili Anaonekana kuwa mtu wa kawaida. Lakini ndani Roho wa Mungu anaishi ndani Yake;

Umeme wa Mashariki | Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (2) - Je, Bwana Atampa Mwanadamu Ufunuo Wakati Atarudi?


Umeme wa Mashariki | Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (2) - Je, Bwana Atampa Mwanadamu Ufunuo Wakati Atarudi?


Utambulisho


Wachungaji na wazee wengi wa kanisa, kwa kuwa wamemwamini Mungu kwa miaka mingi, wamemfanyia Bwana kazi kwa bidii sana na wamekesha kila mara, wakingoja kurudi kwa Bwana, wanaamini kwamba wakati Bwana atakuja Atawapa ufunuo bila shaka. Je, maoni haya yanapatana na ukweli wa kazi ya Mungu? Je, Mungu atampa mwanadamu ufunuo haswa wakati Atapata mwili? Mwenyezi Mungu asema, "Mwanadamu haitafiti kazi mpya ya Mungu kwa utunzaji wala haikubali na unyenyekevu;