Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Enzi-ya-Neema. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Enzi-ya-Neema. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 7 Oktoba 2019

1. Kuna tofauti ipi kati ya maneno yaliyoonyeshwa na Bwana Yesu katika Enzi ya Neema na maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu katika Enzi ya Ufalme?

V. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu ya Hukumu Katika Siku za Mwisho na Kazi Yake ya Ukombozi Katika Enzi ya Neema

1. Kuna tofauti ipi kati ya maneno yaliyoonyeshwa na Bwana Yesu katika Enzi ya Neema na maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu katika Enzi ya Ufalme?

Aya za Biblia za Kurejelea:
Tubuni: kwa kuwa ufalme wa mbinguni u karibu” (Mathayo 4:17).
Na kwamba toba na msamaha wa dhambi vinapaswa kuhubiriwa katika jina lake miongoni mwa mataifa yote, kuanzia Yerusalemu” (Luka 24:47).
Bado ningali nayo mengi ya kuwaambieni, lakini hivi sasa hamwezi kuyavumilia. Hata hivyo, wakati yeye, Roho wa ukweli, atakapokuja, atawaongoza hadi kwenye ukweli wote: kwa maana hatazungumza juu yake mwenyewe; bali chochote atakachosikia, atakinena: na atawaonyesha mambo yajayo” (Yohana 16:12-13).

Jumatatu, 29 Julai 2019

Ngurumo Saba Zatoa Sauti - Zikitabiri Kuwa Injili ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Kueneza Injili

Mimi Naeneza kazi Yangu katika nchi za Mataifa. Utukufu Wangu unamulika kotekote ulimwenguni; mapenzi Yangu yamo katika wanadamu yakitawanyika hapa na pale, wote wakiongozwa kwa mkono Wangu na kufanya kazi ambayo Nimewapa. Kuanzia wakati huu kuendelea, Nimeingia katika enzi mpya, kuwaleta watu wote katika ulimwengu mwingine. Niliporudi katika “nchi Yangu,” Nilianza sehemu nyingine tena ya kazi katika mpango Wangu wa asili, ili mwanadamu aje kunijua zaidi. Nauchukua ulimwengu katika ukamilifu wake na kuona kwamba[a] ni wakati muafaka wa kazi Yangu, kwa hiyo Naharakisha mbele na nyuma kufanya kazi Yangu mpya ndani ya mwanadamu.

Ijumaa, 10 Mei 2019

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III (Sehemu ya Saba)

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Sasa hebu tusome dondoo za maandiko zilizo hapa chini.
12. Maneno ya Bwana Yesu kwa Wanafunzi Wake Baada ya Kufufuka Kwake
Yohana 20:26-29 Na kufuatia siku nane tena wanafunzi wake walikuwa ndani, naye Tomaso alikuwa nao: kisha Yesu akaja, milango ikiwa imefungwa, na kusimama katikati, na kuema, Amani iwe nanyi. Kisha akasema kwa Tomaso, nyoosha kidole chako hapa, na uitazame mikono yangu, nyoosha mkono wako hapa, na uusongeshe mbavuni mwangu: na usiwe bila imani, ila mwenye imani.

Jumamosi, 4 Mei 2019

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III (Sehemu ya Nne)


Halafu hebu tusome fahamu zifuatazo.
6. Ibada Mlimani
Sifa na Heri (Mat 5:3-12)
Chumvi na Nuru (Mt 5:13-16)
Sheria (Mat 5:17-20)
Kuhusu Hasira (Mat 5:21-26)
Kuhusu Uzinzi (Mat 5:27-30)

Ijumaa, 3 Mei 2019

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III Sehemu ya Tatu


Kifuatacho tutaangalia mfano uliozungumziwa na Bwana Yesu katika Enzi ya Neema.

3. Mfano wa Kondoo Aliyepotea
Mat 18:12-14 Mnafikiri vipi? Iwapo mtu ana kondoo mia moja, na mmoja wao apotee, je, hawaachi hao tisini na tisa, na kuenda milimani, na amtafute huyo ambaye amepotea? Na iwapo atampata, kweli nawaambia, anafurahi zaidi kwa sababu ya huyo kondoo, kuliko wao tisini na tisa ambao hawakupotea. Kwa namna hiyo siyo mapenzi ya Baba yenu ambaye yuko mbinguni, kuwa mmoja wa hawa wadogo aangamie.

Jumanne, 30 Aprili 2019

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III Sehemu ya Pili

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Tumezungumza tu kuhusu kazi yote ambayo Mungu amekamilisha, misururu ya mambo Aliyoyafanya kwa mara ya kwanza. Kila mojawapo ya mambo haya yanahusiana na mpango wa Mungu wa usimamizi na mapenzi ya Mungu. Yanahusiana pia na tabia binafsi ya Mungu na kiini Chake. Kama tunataka kuelewa bora zaidi kile Alicho nacho Mungu na kile Alicho, hatuwezi kukoma katika Agano la Kale au katika Enzi ya Sheria, lakini tunahitaji kusonga mbele pamoja na hatua ambazo Mungu alichukua katika kazi Yake. Hivyo basi, Mungu alipotamatisha Enzi ya Sheria na kuanza Enzi ya Neema, hatua zetu binafsi zimefika katika Enzi ya Neema—enzi iliyojaa neema na ukombozi. Katika enzi hii, Mungu tena Alifanya kitu cha muhimu sana kwa mara ya kwanza.

Ijumaa, 23 Novemba 2018

Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu

Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu

Ni lazima myafahamu maono ya kazi ya Mungu na mpate mwelekeo wa kazi Yake. Huku ni kuingia kwa njia nzuri. Punde mnapong’amua ukweli wa maono kwa usahihi, kuingia wako utakuwa salama; bila kujali kazi Yake hubadilika kiasi gani, utaendelea kuwa imara moyoni mwako, utakuwa wazi kuhusu maono, na utakuwa na lengo la kuingia na kazi yako. Kwa njia hiyo, tajriba na ufahamu ulio ndani yako utakua kwa kina na kutakaswa zaidi. Punde unapong’amua ukweli wote, hutapoteza kitu maishani na hutapotea.

Ijumaa, 9 Novemba 2018

Wimbo za Injili | "Imani ya Kweli Inatokana tu na Kumjua Mungu" | Do You Have True Faith in God?

Wimbo za Injili | "Imani ya Kweli Inatokana tu na Kumjua Mungu" | Do You Have True Faith in God?
Kazi ya Mungu sasa ni kunena, hakuna ishara tena, wala maajabu. Sio Enzi ya Neema. Mungu ni wa kawaida na halisi. Katika siku za mwisho Yeye sio Yesu asiye wa kawaida, lakini ni Mungu wa vitendo katika mwili, hakuna tofauti na mtu. Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu ni kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo. Ndiyo, ni matamshi ya Mungu yanayomshinda na kumkamilisha mtu. Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao. Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua.

Jumamosi, 29 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man


🎼🎼 → → 🎙️🎙️↓↓🎻🎻🎻🎻~~~💞💞💞💞💞


Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man

Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000,
uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi.
Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme ni awamu ya mwisho.

Jumamosi, 23 Juni 2018

Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Enzi ya Ukombozi,
Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli


Katika mwaka wa Bwana wetu, mtoto wa kiume alizaliwa katika hori kwa nyumba ya wageni katika Bethlehemu ya Uyahudi. Wanaume watatu wenye busara kutoka mashariki, wakiongozwa na nyota ambayo haikuwahi kuonekana kabla, walifika mahali pa kuzaliwa kwa mtoto.Wakamsujudia kwa ibada. Mtoto huyu Ndiye aliyeahidiwa na Mungu, ambaye angewaongoza na kuwakomboa Waisraeli kutoka kwa sheria. Katika mwaka wa Bwana wetu, mtoto wa kiume alizaliwa katika hori kwa nyumba ya wageni katika Bethlehemu ya Uyahudi. Wanaume watatu wenye busara kutoka mashariki, wakiongozwa na nyota ambayo haikuwahi kuonekana kabla, walifika mahali pa kuzaliwa kwa mtoto.Wakamsujudia kwa ibada. Mtoto huyu Ndiye aliyeahidiwa na Mungu, ambaye angewaongoza na kuwakomboa Waisraeli kutoka kwa sheria.

Jumatatu, 11 Desemba 2017

Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu

Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,


Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa miaka mingi Roho wa Mungu Amekuwa akitafuta bila kikomo Akifanya kazi duniani. Kwa enzi nyingi Mungu Ametumia wanadamu wengi kufanya kazi Yake. Hata hivyo Roho wa Mungu bado hana mahali pazuri pa kupumzika. Kwa hivyo Mungu hupitia wanadamu mbalimbali kufanya kazi Yake na kwa kiasi kikubwa hutumia wanadamu kufanya hivyo. Yaani, katika miaka hii yote mingi, kazi ya Mungu haijawahi kusimama. Inaendelezwa mbele kupitia mwanadamu, bila kikomo mpaka siku ya leo. Ingawa Mungu Amesema na Ametenda mengi, mwanadamu bado hamjui Mungu, hii ni kwa sababu Mungu hajawahi kuonekana na mwanadamu na Yeye Hana umbo.