Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo makusudi-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo makusudi-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 19 Septemba 2018

maneno ya Mungu | Tamko la Hamsini na Nane

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

maneno ya Mungu | Tamko la Hamsini na Nane

Mwenyezi Mungu alisema, Ukiielewa nia Yangu, utaweza kuufikiria mzigo Wangu na unaweza kupata mwanga na ufunuo, na kupata ufunguliwaji na uhuru, kuuridhisha moyo Wangu, kuyaruhusu mapenzi Yangu kwa ajili yako kutekelezwa, kuwaletea watakatifu wote ujenzi wa maadili, na kuufanya ufalme Wangu duniani kuwa imara na thabiti. Jambo la muhimu sasa ni kuelewa nia Yangu, hii ni njia mnayopaswa kuingia katika na hata zaidi ni wajibu wa kutimizwa na kila mtu.

Jumapili, 6 Mei 2018

Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli,

Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo

Fan Xing    Mji wa Zhumadian, Mkoa wa Henan
Katika siku za nyuma, nilikuwa nimeunganishwa na dada mmoja kufanya kazi kwa wajibu fulani. Kwa sababu nilikuwa na majisifu na mwenye kiburi na sikutafuta ukweli, nilikuwa na mawazo kiasi ya kabla kuhusu dada huyu ambayo niliweka moyoni mwangu daima na sikuzungumza waziwazi naye. Tulipotengana, sikuwa nimeingia katika ukweli wa uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha. Baadaye, kanisa lilinipangia kufanya kazi na dada mwingine nami nikaweka azimio mbele ya Mungu: Kuanzia sasa kuendelea, sitatembea katika njia za kufeli. Nimejifunza mafundisho yangu na hivyo kwa sasa wakati huu bila shaka nitakuwa na mawasiliano ya wazi zaidi na dada huyu na kufikia uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha.

Jumatatu, 2 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Nne

Umeme wa MasharikiUfafanuzi wa Tamko la Nne

Mwenyezi Mungu alisema, Ili kuwazuia watu wote kutiwa kiburi na kujisahau baada ya mabadiliko yao kutoka kwa ubaya hadi kwa uzuri, katika fungu la maneno la mwisho la matamshi ya Mungu, mara tu Mungu akishazungumza kuhusu matakwa yake ya juu zaidi kwa watu Wake—mara tu Mungu akishawaambia watu kuhusu mapenzi Yake katika hatua hii ya mpango wa usimamizi Wake—Mungu huwapa nafasi ya kuyatafakari maneno Yake, kuwasaidia kufanya uamuzi wa kuridhisha mapenzi ya Mungu mwishowe.

Jumatano, 28 Februari 2018

"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (2) - Jinsi ya Kufuatilia Ili Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni (2)


 Umeme wa Mashariki | Jinsi ya Kufuatilia Ili Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni (2)



Utambulisho


Waumini wengi wa Bwana wanahisi kwamba almradi tukiyafuata maneno ya Bwana, tukitenda unyenyekevu na uvumilivu, na kufuata mfano wa Paulo kwa kujitolea, kutumia rasilmali na kufanya kazi kwa ajili ya Bwana, tutayaridhisha mapenzi ya Mungu. Na tutaletwa katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi. Hata hivyo, je, tumewahi kufikiria iwapo jitihada kama hizi kweli zitastahili sifa za Bwana na ruhusa ya kuingia katika ufalme wa mbinguni? Kama sivyo, tunapaswa kufuatilia kupata sifa ya Bwana na kuletwa katika ufalme wa mbinguni vipi?