Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Video-za-Nyimbo-na-Kucheza. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Video-za-Nyimbo-na-Kucheza. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 6 Februari 2019

Wimbo wa Kuabudu | "Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee" | How to Know God

Wimbo wa Kuabudu | "Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee" | How to Know God

Mungu huonyesha tabia Yake ya haki kupitia mbinu na kanuni za kipekee, haidhibitiwi na watu, matukio au vitu. Na hakuna awezaye kubadili dhana au mawazo Yake, au kumshawishi Ajaribu njia tofauti. Hii ndiyo asili ya kipekee ya tabia ya haki ya Muumba! Tabia Yake ya haki! Mungu huhuku matendo na mawazo yote ya viumbe kwa tabia Yake ya haki.

Jumatatu, 26 Novemba 2018

Wimbo za Kuabudu "Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu" | God Is My Salvation

Mpendwa Mwenyezi Mungu, ni Wewe ndiye Unayenipenda, uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi hadi kwa mazoezi ya ufalme. Maneno Yako yamenitakasa, yakanifanya nianze kuishi maisha ya furaha. Moyoni mwangu nahisi, kwa kweli, ni upendo Wako mkuu. Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu! Maneno Yako yote ni ukweli. Unastahili upendo wa binadamu. Ee Mungu! Ukipuuza uasi wangu wa zamani, Unanijali na kufanya kazi kuniokoa.

Ijumaa, 12 Oktoba 2018

Swahili Christian Music Video | "Ni Watu Waaminifu Pekee Walio na Mfano wa Binadamu"



Kwa ajili ya faida niliacha viwango vyote vya mwenendo, na bila haya nikatumia udanganyifu kutafuta riziki yangu. Sikujali chochote kuhusu dhamiri au maadili, chochote kuhusu uadilifu au heshima. Niliishi tu kuridhisha tamaa na uroho wangu vilivyozidi kukua. Kwa moyo usio na amani, nilitembea katika matope ya dhambi, bila njia yoyote ya kuepuka giza hii isiyo na mipaka. Utajiri wa maisha na raha za muda mfupi hazingeweza kuficha utupu na maumivu ndani ya moyo wangu. Ni rahisi kuandika neno "mwanadamu."

Jumanne, 21 Novemba 2017

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"


Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"



Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale,

na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki.

Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga

ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga,

wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

Jumamosi, 28 Oktoba 2017

Upendo wa Mungu | "Kama Nisingeokolewa na Mungu" | Swahili Gospel Music Video




Kama Nisingeokolewa na Mungu
Kama nisingeokolewa na Mungu, ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu,
nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi; kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio.
Kama nisingeokolewa na Mungu, bado ningekuwa nimepondwa chini ya miguu ya shetani,
kama nimenaswa katika dhambi na starehe zake, bila kujua maisha yangu yangekuwaje.
Kama nisingeokolewa na Mungu, nisingekuwa na baraka zangu leo,
wala kujua kwa nini sisi tuendelee kuishi ama maana ya maisha yetu.

Jumatano, 25 Oktoba 2017

Sifa Kamili | Dansi ya Kilatini ''Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu"



Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu
Kazi kubwa ya Mungu hubadilika haraka sana, vigumu kuipima, kuridhisha kwa mtu.
Angalia kandokando yako, si kama awali, kila kitu ni kizuri na kipya.
Kila kitu kimehuishwa, vyote vimetengenezwa upya, vyote vimetakaswa.
Tunamsifu Mungu, tukijawa furaha, nyimbo za sifa zinapepea mbinguni Kwake.
Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele.
Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele.
Sifa kwa matendo ya Mungu ya ajabu, isifuni hekima Yake, isiyoshindwa.