Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 2 Februari 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 86

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi MunguSura ya 86

Watu husema kuwa Mimi ni Mungu mwenye huruma na wao husema kwamba Nitaoa wokovu kwa kila kitu Nilichokiumba—mambo haya yote yanasemwa kulingana na fikira za binadamu. Kunitaja Mimi kama Mungu mwenye huruma kunaelekezewa wazaliwa Wangu wa kwanza na kuletea Kwangu wokovu kunaelekezewa wazaliwa Wangu wa kwanza na watu Wangu.

Ijumaa, 10 Agosti 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Tisa

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Tisa

Kila siku Natembea juu ya ulimwengu, Nikiangalia kwa makini vitu vyote vilivyoumbwa kwa mkono Wangu. Juu ya mbingu ni mahali Pangu pa pumziko, na chini yake ni nchi ambayo Natembea. Natawala kila kitu miongoni mwa vyote vilivyoko, Naamuru kila kitu miongoni mwa vitu vyote, Nikisababisha vyote vilivyoko kufuata hali halisi ya maisha na kutii amri ya asili. Kwa sababu Nawadharau wale wasiotii, na Nawachukia sana wale wanaonipinga na wasiojiunga na wengine, Nitafanya kila kitu kuwa chini ya utaratibu Wangu, bila kupinga, Nitafanya kila kitu ndani ya ulimwengu kiwe na mpango. Nani bado anathubutu kunipinga apendavyo? Ni nani anayethubutu kutotii utaratibu wa mkono Wangu? Mwanadamu anawezaje kupenda hata kidogo kuasi dhidi Yangu? Nitawaleta watu mbele ya "babu” zao, Nitawafanya babu zao wawaongoze kurudia jamii zao, na hawataruhusiwa kuasi dhidi ya babu zao na kurudi upande Wangu.

Jumatano, 18 Julai 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Hamsini

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Matamshi ya Mwenyezi Mungu  | Tamko la Hamsini

Makanisa yote na watakatifu wote wanapaswa kutafakari kuhusu siku zilizopita na kutumainia siku za usoni: Ni mangapi kati ya matendo yenu ya zamani ndiyo yanayostahili, na ni mangapi kati yao yalishiriki katika ujenzi wa ufalme? Usiwe mtu mwenye kujifanya kujua kila kitu! Unapaswa kuona wazi dosari zako na unafaa kuelewa hali zako mwenyewe. Najua kwamba hakuna yeyote kati yenu yuko tayari kuweka jitihada yoyote na kugharimika muda wowote kuhusu hili, kwa hivyo hamuwezi kupata ujuzi wowote. Mnaharibu muda wenu wote katika kula, kunywa na kustarehe. Wakati wachache wenu wanakuja pamoja mnafanya mchezo, bila kuwa makini kushiriki mambo ya kiroho maishani au kutoa maisha nyinyi kwa nyinyi.

Jumapili, 1 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Nane

Mwenyezi Mungu alisema, Ufunuo Wangu unapofika kilele chake, na wakati hukumu Yangu inapomalizika, utakuwa wakati ambao watu Wangu wote wanafichuliwa na kufanywa wakamilifu. Nyayo zangu hukanyaga kila pembe ya ulimwengu katika hali ya kutafuta kwa kudumu wale wenye kupendeza nafsi Yangu na wanafaa kwa matumizi Yangu. Nani anaweza kusimama na kushirikiana na Mimi? Upendo wa mwanadamu Kwangu ni mdogo mno na imani yake Kwangu ni ndogo ajabu.