Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumcha-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumcha-Mungu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 11 Julai 2019

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake Sehemu ya Tatu


Namna Ambavyo Mungu Huanzisha Matokeo Ya Binadamu na Kiwango Ambacho Hutumia Kuasisi Matokeo ya Binadamu
Kabla ya kuwa na mitazamo au hitimisho zako binafsi, unafaa kwanza kuelewa mwelekeo wa Mungu kwako, kile ambacho Mungu anafikiria, na kuamua kama kufikiria kwako ni sahihi au la. Mungu hajawahi kutumia vipimo vya muda katika kuasisi matokeo ya mtu, na Hajawahi kutumia kiwango cha mateso yaliyovumiliwa na mtu katika kuasisi matokeo yake.

Jumatano, 7 Novemba 2018

Tamko la Kumi na Moja

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Je, Mimi ni Mungu wako? Je, Mimi ni Mfalme wako? Je, kweli umeniruhusu Mimi kutawala kama Mfalme ndani yako? Unapaswa kutafakari kujihusu kabisa. Je, hukuchunguza na kukataa mwanga mpya na hata kuthubutu kuacha kuufuata ulipokuwa ukija? Kwa sababu ya hii utastahimili hukumu na kuanguka hadi kifo chako, utahukumiwa na kutandikwa kiboko na kiboko cha chuma na hutahisi kazi ya Roho Mtakatifu. Kwa haraka utapiga magoti katika ibada wakati huo ukilia kwa huzuni. Nimewaambia daima na daima Nimewaeleza na Nimewaambia kila kitu.

Jumatatu, 23 Aprili 2018

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kumjua Mungu,
Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake

Kutomcha Mungu na Kutojiepusha na Maovu ni Kumpinga Mungu


Mwenyezi Mungu alisema, Hebu tuanze kwa kuangazia ni wapi ambapo msemo huu “kumcha Mungu na kujiepusha na maovu” ulitokea. (Kitabu cha Ayubu.) Sasa kwa vile umetaja Ayubu, hebu tumzungumzie. Katika nyakati za Ayubu, Mungu alikuwa Akifanya kazi kwa ajili ya ushindi na wokovu wa binadamu? Alikuwa hafanyi hivyo, kweli? Na kuhusiana na Ayubu, ni maarifa kiwango gani aliyokuwa nayo kumhusu Mungu wakati huo? (Si maarifa mengi.) Na maarifa hayo ya Mungu yanalingana vipi na maarifa uliyo nayo sasa? Inakuwaje kwamba huthubutu kujibu hili? Maarifa ya Ayubu yalikuwa mengi zaidi au machache kuliko maarifa uliyo nayo sasa? (Machache.) Hili ni swali rahisi sana kujibu.

Jumatano, 18 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Kuibuka kwa Marekani na Misheni Yake

Umeme wa Mashariki | Kuibuka kwa Marekani na Misheni Yake

Wapuriti walitetea dhana za uhuru, usawa, na demokrasia pamoja na mafundisho ya Mungu. Pia walichanganya Azimio la Uhuru la Marekani na Katiba ya Marekani na mambo haya. …Kwa hiyo Wapuriti hakuwa tu kiini cha uanzishwaji wa Marekani, lakini pia walikuwa waasisi walioifanya Marekani kuwa kuu.…Marekani imetekeleza jukumu muhimu katika kuimarisha hali ya kimataifa na kusawazisha utaratibu wa dunia. Jukumu hili haliwezi kufidika katika kulinda na kuimarisha hali ya kimataifa.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kumcha Mungu,
Kuibuka kwa Marekani na Misheni Yake

Ijumaa, 6 Aprili 2018

Amri Kumi Za Utawala Ambazo Lazima Zitiiwe Na Watu Waliochaguliwa Na Mungu Katika Enzi Ya Ufalme

Amri Kumi Za Utawala Ambazo Lazima Zitiiwe Na Watu Waliochaguliwa Na Mungu Katika Enzi Ya Ufalme


1. Mwenyezi Mungu alisema, Mwanadamu hapasi kujitukuza wala kujipa sifa. Anapaswa kumwabudu na kumsifu Mungu.
2.Unapaswa kufanya lolote ambalo lina manufaa kwa kazi ya Mungu, na hupasi kufanya chochote ambacho kitaleta madhara kwa manufaa ya kazi ya Mungu. Unapaswa kutetea jina la Mungu, ushahidi Wake, na kazi ya Mungu.