Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumfuata-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumfuata-Mungu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 15 Novemba 2018

Swahili Christian Video (2) : Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Mungu wa CCP

Swahili Christian Video (2) : Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Mungu wa CCP

Ili kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungu na kuiacha imani yao, CCP haijawaashawishi Wakristo kwa umaarufu na hadhi tu, lakini imewatia kasumba ya ukanaji Mungu, uyakinifu, kuamini mageuko, na maarifa ya kisayansi. Kwa hiyo Wakristo wamepokeaje utiaji kasumba na ubadilishaji wa CCP? Kwa nini wanaendelea kufuatilia kwa ukaidi njia ya kumwamini Mungu na kumfuata Mungu? Video hii fupi ya ajabu umetayarishiwiwa ili kuyajibu maswali haya.

Sikiliza zaidi: Msifuni Mwenyezi Mungu (MV) , Utongoaji wa Neno la Mungu

Jumatano, 7 Novemba 2018

Swahili Christian Skit "Mipaka ya Meya wa Kijiji" | Why Is There No Religious Freedom in China?



Mchezo mfupi Mipaka ya Meya wa Kijiji inaeleza hadithi ya kweli ya mume na mke Wakristo ambao wanalazimishwa kutoroka kwa sababu ya mateso ya serilaki ya CCP.

Mkristo Liu Ming'en anahukumiwa na CCP miaka saba gerezani kwa kuamini katika Mungu. Hata baada ya kuachiliwa kutoka gerezani, anabakia kuwa wakulengwa na uchunguzi mkali wa CCP. Meya wa kijiji anatumia mfumo wa wajibu wa kaya-tano , kamera za usalama, ziara za nyumba, na njia nyingine kumzuia Liu Ming'en na mkewe kuamini katika Mungu, lakini hakuna inayoleta na matokeo yanayotakiwa.

Jumanne, 25 Septemba 2018

ushuhuda wa Umeme wa Mashariki | Kuahidi Maisha Yangu kwa Moyo wa Ibada(II)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, maombi

Kuahidi Maisha Yangu kwa Moyo wa Ibada(II)

Zhou Xuan Mkoa wa Shandong
Siku iliyofuata, askari waovu walikuja na kunihoji tena, kwa kweli walishangaa na kusema: "Ni nini kibaya na uso wako?" Nilipotazama katika kioo, sikuweza kujitambua; askari muovu alikuwa ameupiga uso wangu mijeledi kwa kamba siku iliyopita na ulikuwa umevimba sana na kuwa mweusi na bluu na kuwa kama panda. Nilipoona kuwa uso wangu ulikuwa umebadilika kabisa mpaka kutotambulika, nilihisi chuki kali kwa joka kubwa jekundu na nikafanya azimio langu kuwa shahidi. Sikuweza kabisa kuruhusu njama yake ishinde!

Jumamosi, 21 Julai 2018

Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu"


Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu"


Utambulisho


Kanisa la Mwenyezi Mungu Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu" | Jinsi Wakristo Humtegemea Mungu Kushinda
Fang Jin ni Mkristo. Alikamatwa na serikali ya CCP kwenye mkusanyiko. Ili kumlazimisha kuwataja ndugu zake wa kike na kiume na kumsaliti Mungu, polisi walimnyima chakula, maji na usingizi kwa siku saba mchana na siku sita usiku, na kusababisha kila aina ya mateso ya kinyama juu yake:

Jumapili, 22 Aprili 2018

Wale Wanaopenda Ukweli Wana Njia ya Kufuata

Wale Wanaopenda Ukweli Wana Njia ya Kufuata

1. Kama hali ya Watu Ni Ya Kawaida Inategemea na Kama Wanapenda Ukweli au La
Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wameibua suala lifuatalo: Baada ya ushirika wa juu, wanahisi wazi kabisa, wanakuwa na nguvu zaidi, na hawana hisia hasi—lakini hali kama hiyo inabaki tu kwa karibu siku kumi, ambapo baadaye hawawezi kudumisha hali ya kawaida. Suala ni nini? Je mmewahi kujiuliza kinachosababisha hili? Mbona hali zenu ni nzuri sana katika siku hizo takriban kumi za kwanza? Wengine wanasema kuwa hili ni tokeo la kutolenga ukweli. Lakini hivyo ungeweza vipi kufikia kiwango hiki cha kawaida baada ya kusikia ushirika? Mbona ulikuwa na furaha sana baada ya kuusikia ukweli? Wengine wanasema ni kwa sababu ya kazi ya Roho Mtakatifu. Mbona basi kazi ya Roho Mtakatifu inakoma baada ya takriban siku kumi? Wengine husema ni kwa sababu wanakuwa wazembe na kuacha kusonga mbele na juu. Mbona basi hili linafanyika hata wakati watu wanapojaribu kufanya maendeleo? Mbona Roho Mtakatifu pia hafanyi kazi? Je, hukuwa unajaribu kusonga mbele na juu? Basi mbona Roho Mtakatifu hayuko kazini?

Jumanne, 27 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Mjadala Kati ya Njia Mbili za Maisha na Kifo


Umeme wa Mashariki | Mjadala Kati ya Njia Mbili za Maisha na Kifo


Utambulisho


Chama cha Kikomunisti cha China kinakandamiza kwa hasira na kushambulia imani ya kidini. Wanawafunga jela na kuwatesa kikatili Wakristo bila kujizuilia. Wanawaruhusu watu tu kufuata Chama cha Kikomunisti. Hawawaruhusu watu kumwamini Mungu na kumfuata Mungu wanapotembea njia sahihi ya maisha. Matokeo ya mwisho ya Chama cha Kikomunisti cha China yatakuwa nini? Chini ya ukandamizaji, ukamataji na utesaji wa hasira wa Chama cha Kikomunisti cha China, Wakristo kwa thabiti wanaendelea kumfuata Mungu, wakieneza injili na kuwa na ushuhuda kwa Mungu. Sababu ya hili ni nini? Katika Video hii, mjadala mzuri kati ya Mkristo na maafisa wa Chama cha Kikomunisti cha China utafichua njia hizi mbili tofauti ambazo zinaelekea kwa miisho miwili tofauti katika maisha yetu.

Jumatano, 3 Januari 2018

Umeme wa Mashariki | Ufahamu wa Kuokolewa | kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, ukombozi,
Umeme wa Mashariki | Ufahamu wa Kuokolewa

23. Umeme wa Mashariki | Ufahamu wa Kuokolewa

Lin Qing Jijini Qingzhou, Mkoa wa Shandong
Kwa miaka hii mingi ya kumfuata Mungu, nimeacha furaha ya familia yangu na mwili, na nimekuwa na shughuli nyingi siku nzima nikitimiza wajibu wangu kanisani. Kwa hiyo niliamini: Mradi tu nisiache kazi katika kanisa ambayo nimeaminiwa, nisimsaliti Mungu, nisiache kanisa, na kumfuata Mungu hadi mwisho, nitahurumiwa na kuokolewa na Mungu. Niliamini pia kuwa nilikuwa nikitembea katika njia ya wokovu na Mungu, na yote niliyokuwa niyafanye ni kumfuata Yeye mpaka mwisho.

Jumatano, 13 Desemba 2017

Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake

Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu,  Kanisa,
Umeme wa Mashariki | Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake

Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake

Mwenyezi Mungu alisema,Kiini cha imani ya watu wengi katika Mungu ni imani za kidini: Hawana uwezo wa kumpenda Mungu, na wanaweza kumfuata Mungu tu kama roboti, bila kuweza kumtamani Mungu, ama kumwabudu. Wanamfuata tu kimyakimya. Watu wengi wanamwamini Mungu, lakini wapo wachache sana ambao humpenda Mungu; wanamheshimu tu Mungu kwa sababu wanaogopa majanga, au hata wanamstahi Mungu kwa sababu ni Mwenye nguvu na aliye juu—lakini katika kumheshimu na kuvutiwa kwao hakuna upendo au kutamani kwa kweli. Katika matukio wanayoyapitia wanataka chembe za ukweli, au hata miujiza fulani isiyokuwa na maana.