Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mpango-wa-biashara-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mpango-wa-biashara-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 16 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Maono ya Kazi ya Mungu (3)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Jina la Mungu,
Maono ya Kazi ya Mungu (3)

Umeme wa MasharikiMaono ya Kazi ya Mungu (3)

Mwenyezi Mungu alisema, Mara ya kwanza Mungu alipopata mwili ilikuwa kupitia kutungwa mimba kwa Roho Mtakatifu, na ilihusiana na kazi Aliyokusudia kufanya. Jina la Yesu liliashiria mwanzo wa Enzi ya Neema. Wakati Yesu Alianza kufanya huduma Yake, Roho Mtakatifu Alianza kutoa ushuhuda kwa jina la Yesu, na jina la Yehova halikuzungumziwa tena, na badala yake Roho Mtakatifu Alianza kazi mpya hasa kwa jina la Yesu.

Jumamosi, 2 Desemba 2017

Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,


Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya


    Mpango wa Mungu wa miaka elfu sita ya usimamizi unaisha, na lango la ufalme limefunguliwa kwa wale ambao wanatafuta kuonekana kwa Mungu. Ndugu wapendwa, mnasubiri nini? Mnatafuta nini? Mnasubiri kuonekana kwa Mungu? Mnazitafuta nyayo za Mungu? Kuonekana kwa Mungu kunatamaniwa sana! Ni vigumu, kiasi gani kupata nyayo za Mungu! Katika enzi kama hii, katika dunia kama hii, lazima tufanye nini ili tushuhudie kuonekana kwa Mungu? Sharti tufanye nini ili tufuate nyayo za Mungu? Wale wote wanaosubiri kuonekana kwa Mungu wanakumbana na maswali kama haya.