Alhamisi, 10 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | Ni nani Mtawala wa Ulimwengu?

Umeme wa Mashariki | Ni nani Mtawala wa Ulimwengu?

Katika anga kubwa mno ya ulimwengu iliyojaa nyota, sayari zinagongana, na mfululizo wa michakato migumu huzaa sayari mpya. Ni siri gani zilizomo ndani?
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu,
Ni nani Mtawala wa Ulimwengu?


Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumatano, 9 Mei 2018

"Imani katika Mungu" (5) - Je, Kufanya Kazi kwa Bidii kwa ajili ya Bwana ni Uhalisi wa Imani katika Bwana?


"Imani katika Mungu" (5) - Je, Kufanya Kazi kwa Bidii kwa ajili ya Bwana ni Uhalisi wa Imani katika Bwana?


Utambulisho



Waumini wengi huamini kwamba mradi tunalilinda jina la Bwana, kuomba mara kwa mara, kusoma Biblia na kuwa na mikutano, na mradi sisi huyaacha vitu, hutumia rasilmali na kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya Bwana, basi hii ni imani ya kweli katika Bwana, na tutaweza kunyakuliwa hadi katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi. Je, aina hii ya mtazamo ni sahihi? Wengi wataniita siku hiyo, Bwana, Bwana, hatujafanya unabii kwa jina lako? na kwa jina lako kutoa pepo? na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Halafu nitasema wazi kwao, Sikuwajua nyinyi kamwe: ondokeni mbele yangu, nyinyi watenda maovu." (Mathayo 7: 22-23). Mwenyezi Mungu anasema, "Sijali jinsi kazi yako ya bidii ni ya kutunukiwa, jinsi sifa zako ni za kuvutia, jinsi unanifuata Mimi kwa karibu, jinsi una umashuhuri, au jinsi umeendeleza mwelekeo wako; mradi hujafanya kile Ninachodai, kamwe hutaweza kushinda sifa Zangu." (Neno Laonekana katika Mwili).

"Imani katika Mungu" (4) - Je, Kuamini katika Biblia ni Sawa na Kuamini katika Bwana?



"Imani katika Mungu" (4) - Je, Kuamini katika Biblia ni Sawa na Kuamini katika Bwana?

Utambulisho


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Biblia,Watu wengi zaidi katika ulimwengu wa dini huamini kwamba Biblia ni kanuni ya Ukristo,kwamba mtu lazima ashikilie Biblia na kuweka msingi wa imani yake katika Bwana kwenye Biblia kabisa, na kwamba mtu hawezi kuitwa muumini akipotoka kutoka kwenye Biblia. Hivyo imani katika Bwana na imani katika Biblia ni sawa? Uhusiano kati ya Biblia na Bwana ni upi hasa? Bwana Yesu aliwakaripia Mafarisayo wakati fulani kwa maneno haya, “Tafuta katika maandiko; kwa kuwa ndani yake mnadhani kuwa mna uzima wa milele: na hayo ndiyo yananishuhudia. Nanyi hamtakuja Kwangu, kwamba mpate uhai." (Yohana 5:39-40). Biblia ni ushuhudawa Mungu tu, lakini haina uzima wa milele. Mungu pekee ndiye ukweli, njia na uzima. Kwa hivyo, tuiangalie Biblia vipi kwa njia ambayo inakubaliana na mapenzi ya Bwana?

Jumanne, 8 Mei 2018

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (7) - Mwenyezi Mungu Afichua Siri za Mpango Wake wa Usimamizi wa Miaka 6,000


Gospel Movie Clip "Kusubiri" (7) - Mwenyezi Mungu Afichua Siri za Mpango Wake wa Usimamizi wa Miaka 6,000


Utambulisho


Bwana Yesu alifichua siri za ufalme wa mbinguni, na Mwenyezi Mungu alikuja kufunua siri zote za usimamizi wa wanadamu wa miaka 6,000! Je, unaweza kutambua kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu kwa kutazama siri ambazo Mwenyezi Mungu amezifunua? Tazama video hii fupi!

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (6) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (2)


Gospel Movie Clip "Kusubiri" (6) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (2)


Utambulisho


"Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa"(Ufunuo 2:29).Umemskia Roho Mtakatifu Akizungumzia makanisa? Je, maneno yaliyosemwa na Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu yametamkwa na Roho mmoja, kutoka kwa chanzo kimoja? Video hii fupi itakuonyesha haya!

Jumatatu, 7 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo?

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, wokovu,

Umeme wa MasharikiKwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo?

Suxing Mkoa wa Shanxi
Mimi ni mtu mwenye kiburi na majivuno, na cheo kimekuwa udhaifu wangu. Kwa miaka mingi, nimefungwa na sifa na cheo na sijaweza kujiweka huru kutoka kwazo. Mara kwa mara nimepandishwa cheo na kubadilishwa na mtu mwingine; nimekuwa na vizuizi vingi katika cheo changu na nimekumbwa na matuta mengi njiani. Baada ya miaka mingi ya kushughulikiwa na kusafishwa, nilihisi kwamba sikuwa nachukulia cheo changu kwa uzito. Sikutaka kuwa kama nilivyokuwa katika nyakati zilizopita nikifikiri kwamba mradi nilikuwa kiongozi ningeweza kukamilishwa na Mungu na kwamba iwapo sikuwa kiongozi, basi sikuwa na matumaini.

Jumapili, 6 Mei 2018

Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli,

Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo

Fan Xing    Mji wa Zhumadian, Mkoa wa Henan
Katika siku za nyuma, nilikuwa nimeunganishwa na dada mmoja kufanya kazi kwa wajibu fulani. Kwa sababu nilikuwa na majisifu na mwenye kiburi na sikutafuta ukweli, nilikuwa na mawazo kiasi ya kabla kuhusu dada huyu ambayo niliweka moyoni mwangu daima na sikuzungumza waziwazi naye. Tulipotengana, sikuwa nimeingia katika ukweli wa uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha. Baadaye, kanisa lilinipangia kufanya kazi na dada mwingine nami nikaweka azimio mbele ya Mungu: Kuanzia sasa kuendelea, sitatembea katika njia za kufeli. Nimejifunza mafundisho yangu na hivyo kwa sasa wakati huu bila shaka nitakuwa na mawasiliano ya wazi zaidi na dada huyu na kufikia uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha.