Ijumaa, 12 Oktoba 2018

Kiini Cha Kristo ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba Wa Mbinguni

Smiley face

Mungu mwenye mwili Anaitwa Kristo, na Kristo ni mwili uliovishwa na Roho wa Mungu. Mwili huu ni tofauti na wa mwanadamu yeyote aliye wa nyama. Tofauti hii ni kwa sababu Kristo sio wa mwili na damu bali ni mwili wa Roho. Anao ubinadamu wa kawaida na uungu kamili. Uungu Wake haujamilikiwa na mwanadamu yeyote. Ubinadamu Wake wa kawaida unaendeleza shughuli Zake zote za kawaida katika mwili, wakati uungu Wake unafanya kazi ya Mungu Mwenyewe. Basi iwe ubinadamu Wake au uungu, yote hujiwasilisha kwa mapenzi ya Baba wa mbinguni.

Swahili Christian Music Video | "Ni Watu Waaminifu Pekee Walio na Mfano wa Binadamu"



Kwa ajili ya faida niliacha viwango vyote vya mwenendo, na bila haya nikatumia udanganyifu kutafuta riziki yangu. Sikujali chochote kuhusu dhamiri au maadili, chochote kuhusu uadilifu au heshima. Niliishi tu kuridhisha tamaa na uroho wangu vilivyozidi kukua. Kwa moyo usio na amani, nilitembea katika matope ya dhambi, bila njia yoyote ya kuepuka giza hii isiyo na mipaka. Utajiri wa maisha na raha za muda mfupi hazingeweza kuficha utupu na maumivu ndani ya moyo wangu. Ni rahisi kuandika neno "mwanadamu."

Alhamisi, 11 Oktoba 2018

32. Jina la Mungu Linatukuzwa Kati ya Mataifa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo
I
Kusudi la hukumu ya Mungu ni kuhimiza utiifu wa mwanadamu;
kusudi la adabu ya Mungu ni kuruhusu mbadiliko wa mwanadamu.
Ingawa kazi ya Mungu ni kwa ajili ya usimamizi Wake,
hakuna kitu Anachofanya kisicho kizuri kwa mwanadamu.
Mungu anataka nchi mbali na Israeli watii jinsi Waisraeli walivyofanya,
kuwafanya kuwa wanadamu wa kweli,
ili katika nchi mbali na Israeli wafuasi wa Mungu watapatikana.
Huu ni usimamizi wa Mungu.

Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu

Smiley face
Kwenye kipindi kile ambacho Petro alikuwa na Yesu, aliona sifa nyingi za kupendeza ndani ya Yesu, hali nyingi zenye za kustahili kuigwa, na nyingi ambazo zilizomkimu. Ingawa Petro aliona nafsi ya Mungu ndani ya Yesu katika njia nyingi, na kuona sifa nyingi za kupendeza, mara ya kwanza hakumjua Yesu. Petro alianza kumfuata Yesu alipokuwa na umri wa miaka 20, na akaendelea kufanya hivyo kwa miaka sita. Kwenye kipindi hiki cha muda, hakuwahi kupata kumjua Yesu, lakini alikuwa radhi kumfuata Yeye kutokana tu na kuvutiwa na Yeye. Wakati Yesu alipomwita kwanza kwenye ufuko wa Bahari ya Galilaya, Aliuliza: “Simioni, mtoto wa Yona, je, utanifuata?” Petro akasema: “Lazima nimfuate yeye aliyetumwa na Baba wa mbinguni. Lazima nimtambue yule aliyechaguliwa na Roho Mtakatifu.

Jumatano, 10 Oktoba 2018

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi?

Utambulisho


Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi?

Tangu makanisa yalipoanza kukumbwa na ukiwa, ndugu wengi katika Bwana wamehisi kwa uwazi ukosefu wa kazi ya Roho Mtakatifu na uwepo wa Bwana, na wote wanatamani kurudi kwa Bwana. Lakini wakati tunaposikia habari ya kwamba Bwana Yesu tayari amerudi, tunawezaje kuwa na uhakika wa hili?

Sikiliza zaidi: Utongoaji wa Neno la Mungu , Msifuni Mwenyezi Mungu (MV) 

Nyimbo za Mungu | Kiini cha Kristo Ni Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo za Mungu

Nyimbo za Mungu | Kiini cha Kristo Ni Mungu

I
Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
Si kupita kiasi kusema hivyo.
Kwani Ana kiini cha Mungu.
Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake,
ambayo haifikiwi na mwanadamu.
Wale wanaojiita Kristo wenyewe ilhali hawawezi kufanya kazi Mungu ni wadanganyifu.

Jumanne, 9 Oktoba 2018

211. Mungu Katika Mwili Hufanya Kazi Kimya ili Kuwaokoa Wanadamu

I
Mungu alipata mwili, akabaki kujificha miongoni mwa wanadamu
ili kufanya kazi mpya, kutuokoa kutoka katika upotovu.
Anahifadhi maelezo.
Kwa mipango Aliyoifanya, Yeye hufanya kazi Yake hatua kwa hatua.
Maneno Yake yanaongezeka kila siku,
yakifariji, kukumbusha, kushutumu, na kuonya.