Jumapili, 5 Novemba 2017

Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI | Utakatifu wa Mungu (III)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu,  Mwenyezi Mungu,
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI | Utakatifu wa Mungu (III)


Umeme wa Mashariki
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI

Utakatifu wa Mungu (III)

Mwenyezi Mungu alisema: Mnahisi vipi baada ya kusema sala zenu? (Tunafurahia na kuguswa sana.) Wacha tuanze ushirika wetu. Tulishiriki mada ipi wakati uliopita? (Utakatifu wa Mungu.) Na ni kipengele kipi cha Mungu Mwenyewe kinahusisha utakatifu wa Mungu? Je, kinahusisha kiini cha Mungu? (Ndiyo.) Kwa hivyo ni nini hasa mada inayohusiana na kiini cha Mungu? Je, ni utakatifu wa Mungu? (Ndiyo.) Utakatifu wa Mungu: hiki ni kiini cha kipekee cha Mungu. Ni nini ilikuwa dhamira kuu tuliyoshiriki wakati uliopita? (Kutambua uovu wa Shetani.) Na ni yapi tuliyoyashiriki wakati uliopita kuhusu uovu wa Shetani? Mnaweza kukumbuka? (Jinsi Shetani anampotosha mwanadamu.

Umeme wa Mashariki | Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III

Umeme wa Mashariki Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe III

Mwenyezi Mungu alisema, Vikao hivi kadhaa vya ushirika vimekuwa na athari kubwa kwa kila mmoja wa watu. Kwa sasa, watu wanaweza hatimaye kuhisi uwepo wa kweli wa Mungu na kwamba Mungu kwa hakika yuko karibu sana na wao. Ingawa watu wamemwani Mungu kwa miaka mingi, hawajawahi kuelewa kwa kweli mawazo na fikira Zake kama wanavyozielewa sasa, wala hawajawahi kupata kwa kweli uzoefu wa matendo Yake halisi kama walio nao kwa sasa.

Jumamosi, 4 Novemba 2017

Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu,
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V 


Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V

Utakatifu wa Mungu (II)

alisemMwenyezi Mungu a:Habari za jioni kila mtu! (Habari ya jioni Mwenyezi Mungu!) Leo, kaka na dada, hebu tuimbe wimbo. Tafuta mmoja ambao mnapenda na ambao mmeimba mara nyingi kabla. (Tungependa kuimba wimbo wa neno la Mungu “Upendo Safi Bila dosari.”)
Kiitikio: “Upendo” unarejelea hisia safi bila dosari, ambapo mnatumia mioyo yenu kupenda, kuhisi, na kuwa wa kufikiri. Katika upendo hakuna masharti, hakuna vizuizi, na hakuna umbali. Katika upendo hakuna tuhuma, hakuna udanganyifu, hakuna mpango, na hakuna ujanja. Katika upendo hakuna chaguo na hakuna chochote kichafu.
1. Iwapo mna upendo kama huo, basi hamdanganyi, hamlalamiki, hamsaliti, hamuasi, hamchukui, ama kuuliza kupokea chochote ama idadi fulani. Iwapo mnapenda, basi mnatoa kwa furaha.

Umeme wa Mashariki | Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II

Umeme wa Mashariki,  Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu,
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II


Umeme wa Mashariki | Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II

Mwenyezi Mungu alisema:Kwenye mkutano wetu wa mwisho tuliweza kuzungumzia mada muhimu sana. Je, wakumbuka mada hiyo ilikuwa kuhusu nini? Hebu Niirudie. Mada ya ushirika wetu wa mwisho ilikuwa: Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Je, mada hii ni muhimu kwako? Ni sehemu gani katika mada hii ni muhimu kwako? Kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, au Mungu Mwenyewe? Ni sehemu ipi inakuvutia zaidi? Ni sehemu ipi unayotaka kusikiliza kuhusu zaidi? Najua ni vigumu kwako wewe kulijibu swali hilo, kwa sababu tabia ya Mungu inaweza kuonekana katika kila kipengele cha kazi Yake, na tabia Yake inafichuliwa katika kazi Yake siku zote na pahali pote, na, kutokana na hayo, inawakilisha Mungu Mwenyewe; kwenye mpango wa usimamizi wa ujumla wa Mungu, kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe vyote hivi haviwezi kutenganishwa.

Ijumaa, 3 Novemba 2017

Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV | Utakatifu wa Mungu (I)

Mwenyezi Mungu,  Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV | Utakatifu wa Mungu (I)


Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV

Utakatifu wa Mungu (I)

Mwenyezi Mungu alisema:Tumekuwa na ushirika wa ziada wa mamlaka ya Mungu leo, na hatutazungumza kuhusu haki ya Mungu sasa hivi. Leo tutazungumza kuhusu mada nzima mpya—utakatifu wa Mungu. Utakatifu wa Mungu pia ni kipengele kingine cha kiini cha kipekee cha Mungu, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kushiriki mada hii hapa. Hiki kipengele cha kiini cha Mungu ambacho Nitashiriki, pamoja na vile vipengele viwili tulivyoshiriki mbeleni, tabia ya haki ya Mungu na mamlaka ya Mungu—yote ni ya kipekee? (Ndiyo.) Utakatifu wa Mungu pia ni wa kipekee, basi msingi wa upekee huu, mzizi wa upekee huu, ni maudhui ya ushirika wetu wa leo. Mnaelewa?

Umeme wa Mashariki | Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu,
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I

Umeme wa Mashariki | Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I

Mwenyezi Mungu alisema: Leo tunawasiliana kuhusu mada muhimu. Hii ni mada ambayo imezungumziwa tangu kuanza kwa kazi ya Mungu mpaka sasa, na inayo umuhimu mkuu kwa kila mtu. Kwa maneno mengine, hili ni suala ambalo kila mmoja atakutana nalo kwenye mchakato wote wa kusadiki kwake katika Mungu na suala ambalo lazima lizungumziwe. Ni suala muhimu, lisiloepukika ambalo mwanadamu hawezi kujitenganisha nalo. Tukizungumzia umuhimu, ni nini kitu muhimu zaidi kwa kila muumini katika Mungu?

Alhamisi, 2 Novemba 2017

Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III

Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu,

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III,Mamlaka ya Mungu (II)


Umeme wa Mashariki | Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III

Mamlaka ya Mungu (II)

Mwenyezi Mungu alisema:Leo tutaendelea na ushirika wetu kuhusu mada ya “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee.” Tayari tumekuwa na ushirika mara mbili katika mada hii, wa kwanza kuhusiana na mamlaka ya Mungu na wa pili kuhusiana na tabia ya haki ya Mungu. Baada ya kusikiliza ushirika huu mara mbili, je, umepata ufahamu mpya wa utambulisho wa Mungu, hadhi, na hali halisi? Je, maono haya yamekusaidia kufikia maarifa mazito zaidi na uhakika wa ukweli kuuhusu uwepo wa Mungu? Leo Ninapanga kufafanua mada hii ya “Mamlaka ya Mungu.”