Jumapili, 6 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | Sababu ya Kweli ya Kazi Isiyofaa

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, maombi,

Umeme wa Mashariki | Sababu ya Kweli ya Kazi Isiyofaa

Xinyi Mji wa Xi’an, Mkoa wa Shaanxi
Katika ziara zangu za karibuni kwa makanisa, mara nyingi niliwasikia viongozi na wafanyakazi wakisema kwamba watu wengine, baada ya kuhudhuria ushirika na mimi, waligeuka hasi, wanyonge na walikosa motisha ya kuendelea kutafuta. Wengine walisema ilikuwa vigumu sana kumwamini Mungu na walimwelewa Mungu visivyo. Wengine walisema kwamba hali zao zilikuwa nzuri kabla ya wao kukutana na mimi, lakini punde tu waliponiona, walihisi shinikizo kubwa mno na wasio na raha. ...Niliposikia haya yote, nilihuzunika, na nilihisi kukosewa vibaya—kila wakati nilipokuja kushiriki na wao ningeishi kwa baadhi ya siku, na, ili kutatua shida zao, nilipitia na kudondoa kama mifano vifungu vingi vya neno la Mungu, nikizungumza hadi nilipokauka mdomo, na wakati huo wote nikifikiri kwamba juhudi zangu zilikuwa zimetoa matokeo mazuri.

Jumamosi, 5 Mei 2018

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (5) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (1)


Gospel Movie Clip "Kusubiri" (5) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (1)


Utambulisho


"Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa"(Ufunuo 2:29). Umemskia Roho Mtakatifu Akizungumzia makanisa? Je, maneno yaliyosemwa na Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu yametamkwa na Roho mmoja, kutoka kwa chanzo kimoja? Video hii fupi itakuonyesha haya!

"Imani katika Mungu" (3) - Je, Kazi ya Mungu na Kuonekana kwa Mungu Kunaleta Nini katika Jamii ya Dini?


"Imani katika Mungu" (3) - Je, Kazi ya Mungu na Kuonekana kwa Mungu Kunaleta Nini katika Jamii ya Dini?


Utambulisho



Kila wakati ambapo Mungu anakuwa mwili na kuonekana ili kufanya kazi Yake, nguvu za uovu za Shetani hupinga na kulaani njia ya kweli kwa ghadhabu. Kwa njia hii, vita vinatokea ndani ya dunia ya kiroho ambavyo hugawanya na kufunua ulimwengu wa dini. Bwana Yesu alisema, “Msifikiri kwamba nimekuja kuleta amani duniani: sikuja kuleta amani, bali upanga”(Mathayo 10:34). Wakati ambapo Bwana Yesu alionekana na kufanya kazi katika Enzi ya Neema, dini ya Kiyahudi iligawanyika katika vikundi vingi. Sasa kwa kuonekana kwa Mwenyezi Mungu na kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, ulimwengu wa dini unapatwa na mfichuo mkubwa; ngano na magugu mwitu, kondoo na mbuzi, wanawali wenye busara na wanawali wapumbavu, na watumishi wazuri na watumishi wabaya —wote wanafunuliwa, kila mmoja na aina yake. Hekima ya Mungu na maajabu kweli ni ya kina sana!

Ijumaa, 4 Mei 2018

Chochote Mungu Asemacho Ndiyo Hukumu Hasa ya Mwanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Hukumu,

Chochote Mungu Asemacho Ndiyo Hukumu Hasa ya Mwanadamu

Xunqiu    Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan
Nilikuwa nikidhani kwamba Mungu alimhukumu na kumuadibu mwanadamu wakati tu Alipoufichua upotovu wa asili wa mwanadamu au alipoeleza maneno mkali ambayo yaliuhukumu mwisho wa mwanadamu. Ilikuwa ni baadaye kabisa tu ambapo tukio moja liliponiongoza kutambua kwamba hata maneno mapole ya Mungu pia yalikuwa ni hukumu na kuadibu Kwake. Niligundua kuwa kila neno Alilolisema Mungu ni hukumu Yake kwa mwanadamu.

Umeme wa Mashariki | Wivu, Ugonjwa Sugu Wa Kiroho

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, hukumu,

Umeme wa Mashariki |  Wivu, Ugonjwa Sugu Wa Kiroho

He Jiejing    Jiji la Hezhou, Mkoa wa Guangxi
Dada mmoja na mimi tuliunganishwa ili tusahihishe makala pamoja. Tulipokuwa tukikutana, nilitambua kuwa haikujalisha kama ilikuwa ni kuimba, kucheza ngoma, kupokea neno la Mungu, au kuwasiliana ukweli, huyu dada alikuwa bora kuniliko katika kila kipengele. Ndugu wa kiume na wa kike wa familia mwenyeji wote walimpenda na wangezungumza naye. Kwa sababu ya hili, moyo wangu ulikuwa na wasiwasi sana na nilihisi kama nilikosa kuthaminiwa—hata kufikia kiasi kwamba nilifikiri kuwa mradi alikuwa huko, hakukuwa na nafasi yangu. Moyoni mwangu nilianza kuhisi kuchoshwa naye na kutotaka kuandamana naye katika kutimiza wajibu wetu. Nilitumaini kwamba angeondoka ili kwamba ndugu wa kiume na wa kike wangenipenda na kuniheshimu sana.

Alhamisi, 3 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (1) - Siri ya Kuja kwa Mwana wa Adamu


Umeme wa Mashariki | Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (1) - Siri ya Kuja kwa Mwana wa Adamu


Utambulisho


Akizungumza kuhusu kurudi kwa Bwana, Bwana Yesu alisema, “Kuweni tayari pia: kwani Mwana wa Adamu atakuja wakati ambapo hamfikiri” (Luka 12:40). "Kwani kama umeme, umulikao kutoka sehemu moja chini ya mbingu, huangaza hadi sehemu nyingine chini ya mbingu; vivyo hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika siku yake. Lakini kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki” (Luka 17:24-25). Unabii huu unataja "Mwana wa Adamu atakuja" au "kuja kwa Mwana wa Adamu," kwa hiyo ni nini hasa kinamaanishwa na "kuja kwa Mwana wa Adamu"? Bwana Yesu atarudi kwa njia gani? Filamu hii fupi itakufichulia ukweli.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, unabii wa Biblia,
Siri ya Kuja kwa Mwana wa Adamu

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.



"Imani katika Mungu" (2) - Je, Njia Inayoshutumiwa na CCP na Miongoni mwa Watu wa Dini Siyo Njia ya kweli?


"Imani katika Mungu" (2) - Je, Njia Inayoshutumiwa na CCP na Miongoni mwa Watu wa Dini Siyo Njia ya kweli?


Utambulisho


Watu wengi hutafuta na kuchunguza njia ya kweli pasipo kutegemeza vitendo hivi katika maneno na kazi ya Mungu. Badala yake, wao hufuata mitindo ya ulimwengu wa dini na wanaamini kwamba kile ambacho serikali ya kikomunisti ya China na ulimwengu wa dini inalaani sio njia ya kweli—je, hii ni njia sahihi ya kuelekea? Biblia inasema, “dunia nzima hukaa ndani ya maovu."(1 Yohana 5:19). “Hiki ni kizazi kiovu” (Luka 11:29). Hivyo inaweza kuonekana kwamba mifumo ya kisiasa ya kukana Mungu na ulimwengu wa dini hakika utakana na kuishutumu njia ya kweli. Wakati ambapo Bwana Yesu alifanya kazi Yake katika Enzi ya Neema, serikali ya Kiyahudi na ya Kirumi zilimpinga na kumtia hatiani kwa hasira, na mwishowe Bwana Yesu alisulubishwa msalabani. Je, si huu ni ukweli wa hali? Mwenyezi Mungu anapokuja kufanya kazi Yake katika siku za mwisho, Anapitia uasi mkali na shutuma ya serikali ya China na ulimwengu wa dini. Hili linaonyesha nini? Je, si hili linastahili sisi kulitafakari?