Ijumaa, 22 Desemba 2017

Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song



Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song
Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki vinakua ulimwenguni kote, ikitukuka sana kati ya wanadamu wote. Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza. Ni nani asiyesherehekea? Ni nani asiyetoa machozi? Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; jua linaaangaza kotekote. wakiishi katika mwanga wa Mungu, wakiwa na amani na kila mmoja. Dunia ni ya mbingu, mbingu inaungana na dunia. Mwanadamu ndiye ukamba unaounganisha mbingu na dunia. Kwa sababu ya utakatifu wa mwanadamu, kwa sababu ya upya wake, mbingu haijifichi kutoka kwa dunia tena, dunia haiinyamazii mbingu tena. Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; hawaliabishi jina la Mungu, wakiishi katika mwanga wa Mungu, wakiwa na amani na kila mmoja. Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; hawaliabishi jina la Mungu, wakiishi katika mwanga wa Mungu, wakiwa na amani na kila mmoja. Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka, jua linaangaza kotekote. Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka, jua linaangaza kotekote. Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka, jua linaangaza kotekote. Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka, jua linaangaza kotekote. Nyuso za ubinadamu zimezingirwa na tabasamu. Ukiwa umejificha mioyoni mwao, utamu unaenda kwa mwendo mrefu. Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; hawaliabishi jina la Mungu, wakiishi katika mwanga wa Mungu, wakiwa na amani na kila mmoja. Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde; hawaliabishi jina la Mungu, wakiishi katika mwanga wa Mungu, wakiwa na amani na kila mmoja, wakiwa na amani na kila mmoja, wakiwa na amani na kila mmoja. kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni