Jumatatu, 22 Januari 2018

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu” Wewe ni Bwana wa Maisha Yangu

   Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu” Wewe ni Bwana wa Maisha Yangu

Utambulisho

    Mwenyezi Mungu alisema, “Ukuu na nguvu ya uhai wa Mungu hauwezi kueleweka na kiumbe chochote. Hii ilikuwa hivyo awali, iko hivyo wakati huu, na itakuwa hivyo wakati ujao. Siri ya pili Nitakayotoa ni hii: chanzo cha uhai hutoka kwa Mungu, kwa viumbe vyote, haijalishi tofauti katika maumbile au muundo. Hata uwe kiumbe hai cha aina gani, huwezi kwenda kinyume na njia ya maisha ambayo Mungu ameweka. Katika hali yoyote, kile Napenda ni kuwa mwanadamu aelewe kwamba bila huduma, utunzaji, na utoaji wa Mungu, mwanadamu hawezi kupokea yote aliyokusudiwa kupokea, haijalishi juhudi au mapambano yake. Bila ruzuku ya uhai kutoka kwa Mungu, mwanadamu hupoteza maana ya thamani katika maisha na kupoteza madhumuni ya kusudi katika maisha.”

    Soma zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni