Jumanne, 15 Mei 2018

" Wimbo za Sifa ""Upendo wa Kweli wa Mungu"" | Haleluya! Msifuni Mungu! (Korean Song Swahili Subtitles)"


Nyimbo za Sifa "Upendo wa Kweli wa Mungu" | Haleluya! Msifuni Mungu! (Korean Song Swahili Subtitle)


Utambulisho


Leo naja mbele ya Mungu tena,
naona uso Wake wa kupendeza.
Leo naja mbele ya Mungu tena,
nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Leo naja mbele ya Mungu tena,
kufurahia neno Lake kunanijaza na furaha.
Leo naja mbele ya Mungu tena,
moyo wangu una mengi ya kusema.
Ni maneno Yake mororo yanayoninyunyizia
na kunirutubisha ili nikue.
Ni maneno Yake makali yanayonitia moyo ili nisimame tena.
Ee Mungu! Tunaweza kukusifu kwa kuwa Umetuinua!
Tunaweza kukuimbia leo yote
kwa sababu ya baraka na neema Yako.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, upendo wa Mungu,
Upendo wa Kweli wa Mungu

Ee Mungu, Unatupenda sana kweli!
Unatufanya tufurahie maneno Yako kila siku!
Ee Mungu, Unatupenda sana kweli! Unatupa nuru kila siku!
Ee Mungu, Unatupenda sana kweli!
Unawanyunyizia na kuwastawisha watu Wako.
Unatuepusha na ushawishi wa Shetani.
Ndugu, fanyeni upesi na muinuke! Tumsifu Mungu wetu!
Hebu tufurahie jinsi ambavyo Ametukusanya hapa leo.
Tuwe huru kabisa kutokana na mizigo ya mwili!
Sifa kwa Mwenyezi Mungu kwa bidii!
Tutimize wajibu wetu kwa moyo wetu wote na nguvu zote,
tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu kwa matendo.
Tutakupenda milele, Mwenyezi Mungu wa Kweli!

kutoka kwa Mfuate Mwanakondoo na Imba Nyimbo Mpya

    Jifunze zaidi:Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu,Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni