Jumatatu, 11 Juni 2018

Swahili Christian Video 2018 | "Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi" | Wokovu wa Mungu


Swahili Christian Video 2018 | "Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi" | Wokovo wa Mungu


Utambulisho


Baada ya Liang Zhi kumwamini Mungu, bila kukoma alitafuta kwa shauku, na kujitosa katika kutimiza wajibu wake. Baada ya miaka kadhaa, alichaguliwa kama kiongozi wa kanisa. Wakati alipokuwa akitekeleza wajibu wake kama kiongozi wa kanisa, aligundua kwamba baadhi ya ndugu walikuwa na uwezo zaidi kumliko, ambayo ilimfanya asiwe na furaha kwa kiasi kwamba alikuwa na wivu kwao. Ili kuokoa uso na kulinda hali yake, alishindana nao kwa siri ili kuona ni nani aliyekuwa bora, na alikimbilia umaarufu na hadhi. Umaarufu na hadhi vilionekana kama pingu zisizoonekana zilizomfunga sana, kumnyima uhuru, kumsababisha afanye mambo kinyume na ukweli na kupinga Mungu. Kwa sababu kutekeleza wajibu wake kulikuwa tu kwa ajili ya umaarufu na hadhi, na si kwa kufuatilia ukweli, matokeo yake ni kwamba alipoteza kazi ya Roho Mtakatifu. Hakuweza kufanya kazi ya vitendo, na aliondolewa kwenye kazi zake za uongozi na kubadilishwa. Aliteseka sana kama matokeo, na akaja mbele ya Mungu kutafakari juu yake mwenyewe. Baada ya kupitia hukumu na kuadibu kwa maneno ya Mungu, alikuja kutambua kwamba ufuatiliaji wa umaarufu na hadhi uliletwa kabisa na tabia yake ya kishetani ya kiburi na majivuno, na kuabudu mamlaka na ushawishi na hadhi. Alifahamu kuwa kiini cha kutafuta umaarufu na hadhi kilikuwa kufuata njia ya mpinga Kristo. Kama hangetubu na kurekebisha njia zake kote, matokeo ya mwisho yalikuwa kwamba alikusudiwa kuzama ndani ya utupu. Wakati huo huo aliona wazi kwamba imani katika Mungu ilihitaji kutembea kwenye njia ya ufuatiliaji wa ukweli na kutekeleza wajibu wake kwa kujitolea. Baada ya hapo, katika kutekeleza wajibu wake aliambatanisha umuhimu katika ufuatiliaji wa ukweli na kutenda ukweli. Kila wakati ambapo tabia potovu ya kukimbilia umaarufu na hadhi ilitokea, hapo basi alimwomba Mungu akitafuta ukweli na, akikubali hukumu na adabu ya maneno ya Mungu, kulingana na neno la Mungu alifanya mazoezi ya kuutelekeza mwili, na kuweka kwa mpangilio nia yake kutimiza wajibu wake mwenyewe. Bila kujali kama alikuwa na hadhi au la, aliweza kabisa kutekeleza majukumu yake. Pole pole alitupa mbali pingu za hadhi ambazo zilimfunga na hakufuatilia tena umaarufu na hadhi, baada ya kutembea kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu ya kutafuta ukweli na kupokea wokovu.
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Masharikim, Wokovo wa Mungu,
Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi
Biblia inasema: "Kwa maana kama umeme unatoka mashariki, na huangaza mpaka magharibi; ndivyo pia kuja kwake Mwana wa Adamu kuwa." Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho, ameelezea kweli kubwa ya kumwokoa mwanadamu na kumkamilisha . Watu wengi kutoka madhehebu tofauti wanaotamani kweli na kuamini Mungu wamethibitisha kuwa Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi baada ya kutafuta na kuchunguza neno la Mwenyezi Mungu. Watu zaidi na zaidi wamerejea mbele ya kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu, wakipendeza neno la Mungu na ugavi wa maji yaliyo hai yaliyomo, wanahisi tamu katika moyo. Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu linajumuisha watu hawa ambao wanaamini kweli wa Mungu. Injili ya siku za mwisho ya Mwenyezi Mungu imekuwa imeenea kwa kila taifa. Tumaini ndugu na dada wote ambao wanaamini kweli wa Mungu wanaweza kutafuta njia ya kweli hivi karibuni, kurudi nyumbani kwa Mungu na kupata wokovu wa Mungu katika siku za mwisho." Biblia inasema: "Kwa maana kama umeme unatoka mashariki, na huangaza mpaka magharibi; ndivyo pia kuja kwake Mwana wa Adamu kuwa." Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho, ameelezea kweli kubwa ya kumwokoa mwanadamu na kumkamilisha . Watu wengi kutoka madhehebu tofauti wanaotamani kweli na kuamini Mungu wamethibitisha kuwa Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi baada ya kutafuta na kuchunguza neno la Mwenyezi Mungu. Watu zaidi na zaidi wamerejea mbele ya kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu, wakipendeza neno la Mungu na ugavi wa maji yaliyo hai yaliyomo, wanahisi tamu katika moyo. Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu linajumuisha watu hawa ambao wanaamini kweli wa Mungu. Injili ya siku za mwisho ya Mwenyezi Mungu imekuwa imeenea kwa kila taifa. Tumaini ndugu na dada wote ambao wanaamini kweli wa Mungu wanaweza kutafuta njia ya kweli hivi karibuni, kurudi nyumbani kwa Mungu na kupata wokovu wa Mungu katika siku za mwisho." Biblia inasema: "Kwa maana kama umeme unatoka mashariki, na huangaza mpaka magharibi; ndivyo pia kuja kwake Mwana wa Adamu kuwa." Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho, ameelezea kweli kubwa ya kumwokoa mwanadamu na kumkamilisha . Watu wengi kutoka madhehebu tofauti wanaotamani kweli na kuamini Mungu wamethibitisha kuwa Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi baada ya kutafuta na kuchunguza neno la Mwenyezi Mungu. Watu zaidi na zaidi wamerejea mbele ya kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu, wakipendeza neno la Mungu na ugavi wa maji yaliyo hai yaliyomo, wanahisi tamu katika moyo.


Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu linajumuisha watu hawa ambao wanaamini kweli wa Mungu. Injili ya siku za mwisho ya Mwenyezi Mungu imekuwa imeenea kwa kila taifa. Tumaini ndugu na dada wote ambao wanaamini kweli wa Mungu wanaweza kutafuta njia ya kweli hivi karibuni, kurudi nyumbani kwa Mungu na kupata wokovu wa Mungu katika siku za mwisho."

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni