Jumapili, 17 Juni 2018

Umeme wa Mashariki | Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"


 Umeme wa Mashariki | Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"

Utambulisho


   Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.
Filamu hii ya hali halisi inaelezea uzoefu wa kweli wa Mkristo Mchina, Yang Huizhia, ambaye alikamatwa na serikali CCP, akateswa, na kufa kutokana na kuteswa kwake kwa sababu ya imani yake kwa Mungu. Baada ya Yang Huizhi kufa, serikali ya CCP kwa uongo ilidai kuwa kifo chake kilikuwa kimetokana na mshtuko wa moyo. Familia yake ilitaka kutafuta haki kwa ajili yake, lakini hatimaye walishtuka hadi kutulia kwa sababu ya vitisho vya CCP.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Wakristo wa China,
Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko

    Biblia inasema: "Kwa maana kama umeme unatoka mashariki, na huangaza mpaka magharibi; ndivyo pia kuja kwake Mwana wa Adamu kuwa." Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho, ameelezea kweli kubwa ya kumwokoa mwanadamu na kumkamilisha . Watu wengi kutoka madhehebu tofauti wanaotamani kweli na kuamini Mungu wamethibitisha kuwa Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi baada ya kutafuta na kuchunguza neno la Mwenyezi Mungu. Watu zaidi na zaidi wamerejea mbele ya kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu, wakipendeza neno la Mungu na ugavi wa maji yaliyo hai yaliyomo, wanahisi tamu katika moyo.

    Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu linajumuisha watu hawa ambao wanaamini kweli wa Mungu. Injili ya siku za mwisho ya Mwenyezi Mungu imekuwa imeenea kwa kila taifa. Tumaini ndugu na dada wote ambao wanaamini kweli wa Mungu wanaweza kutafuta njia ya kweli hivi karibuni, kurudi nyumbani kwa Mungu na kupata wokovu wa Mungu katika siku za mwisho."

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni