Ijumaa, 21 Septemba 2018

Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God


🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’“πŸ’“


Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God

Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia.
Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
kila hatua ya mwanadamu, kila kitu anachosema na kufanya.

Mungu anamjua mwanadamu kama kiganja cha mkono Wake.
Mahali pa siri ni makao ya Mungu, anga ndicho kitanda Mungu akilaliacho.
Nguvu ya Shetani haiwezi kumfikia Mungu, kwani Yeye amejawa na utukufu, haki, na hukumu.

Mungu amekanyaga vitu vyote na miguu Yake, Yeye ananyosha mtazamo Wake juu ya ulimwengu.
Na Mungu ametembea kati ya wanadamu,
ameonja utamu na uchungu, ladha zote za dunia ya mwanadamu;
lakini wanadamu, kamwe hawakumtambua Mungu kweli, wala hawakumwona Mungu alipokuwa akitembea ughaibuni.
Kwa sababu Mungu alikuwa kimya, na hakufanya matendo yasiyo ya kawaida,
hivyo, hakuna aliyemwona kweli.
Vitu haviko vilivyokuwa awali:
Mungu anaenda kufanya vitu ambavyo, katika enzi zote, ulimwengu haujawahi kuona,
Mungu anaenda kunena maneno ambayo, katika enzi zote, wanadamu hawajawahi kusikia,
kwa sababu Yeye anawataka binadamu wote waje kumjua Mungu katika mwili.
kwa sababu Yeye anawataka binadamu wote waje kumjua Mungu katika mwili.

kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili


Tazama zaidi: Umeme wa Mashariki | Video za Nyimbo za Dini

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni