Alhamisi, 13 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo,


  • 🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’“πŸ’“****🌻🌻🌻

  •  
  • Upendo na huruma za Mungu
  • hupenyeza kazi Yake
  • ya usimamizi kwa utondoti.
  • I
  • Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la,
  • Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya.
  • Ikiwa mwanadamu aelewa usimamizi Wake au la,
  • kazi Yake huleta usaidizi na utoaji unaoweza kuhisiwa na wote.
  • Upendo na huruma za Mungu
  • hupenyeza kazi Yake
  • ya usimamizi kwa utondoti.
  • II
  • Pengine leo huhisi upendo na uzima
  • Mungu anaokupa,
  • mradi tu huondoki katika upande Wake,
  • wala kuachilia mapenzi yako ya kutafuta ukweli,
  • hakika siku moja utaiona tabasamu ya Mungu.
  • Sababu kusudi la Mungu katika kazi Yake ya usimamizi ni kumpokonya mwanadamu
  • kutoka milki ya shetani na sio kuwaacha
  • waliopotoshwa na Shetani,
  • na kupinga mapenzi Yake.
  • Upendo na huruma za Mungu
  • hupenyeza kazi Yake
  • ya usimamizi kwa utondoti.
  •  
  • kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
  • Sikiliza zaidi: Umeme wa Mashariki Nyimbo za Maneno ya Mungu, Neno la Mwenyezi Mungu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni