Jumatatu, 1 Oktoba 2018

Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu




Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu
Upendo na huruma za Mungu hupenyeza kazi Yake ya usimamizi kwa utondoti. I Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la, Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya. Ikiwa mwanadamu aelewa usimamizi Wake au la, kazi Yake huleta usaidizi na utoaji unaoweza kuhisiwa na wote. Upendo na huruma za Mungu hupenyeza kazi Yake ya usimamizi kwa utondoti. II Pengine leo huhisi upendo na uzima Mungu anaokupa, mradi tu huondoki katika upande Wake, wala kuachilia mapenzi yako ya kutafuta ukweli, hakika siku moja utaiona tabasamu ya Mungu. Sababu kusudi la Mungu katika kazi Yake ya usimamizi ni kumpokonya mwanadamu kutoka milki ya shetani na sio kuwaacha waliopotoshwa na Shetani, na kupinga mapenzi Yake. Upendo na huruma za Mungu hupenyeza kazi Yake ya usimamizi kwa utondoti.

kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Sikiliza nyimbo: Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu












Hakuna maoni:

Chapisha Maoni