Jumatano, 12 Septemba 2018

nyimbo za love | Ishini Katika Upendo wa Mungu | "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Best Swahili Christian Worship Song

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, nyimbo za love,


  • 🎼🎼     → → πŸŽ™️πŸŽ™️  ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’“πŸ’“
  •  
  • I
  • Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako.
  • Ni matamu sana, nakaa karibu yako.
  • Kukutunza hukoleza moyo wangu;
  • kukutumikia na mawazo yangu yote.
  • Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako;
  • mimi hufuata nyayo zako za mapenzi.
  • Mimi hujisogeza kulingana na macho Yako;
  • mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu.
  • Mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu.
  • Sasa mimi huishi katika ulimwengu mwingine,
  • hakuna yeyote isipokuwa wewe uko nami.
  • Unanipenda, ninakupenda;
  • hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua.
  • Hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua.
  • Kumbukumbu chungu hutokomea.
  • Kumbukumbu chungu hutokomea.
  • II
  • Kukufuata katika mapenzi, niko karibu Yako;
  • furaha hutujaa Wewe na mimi.
  • Kuelewa mapenzi Yako, mimi hukutii tu,
  • bila kutaka kutokukutii Wewe.
  • Nitaishi mbele Yako kuliko wakati wowote,
  • siwezi kuwa mbali na Wewe tena.
  • Nikiyawaza na kuyaonja maneno Yako,
  • napenda Ulicho nacho, kile Ulicho.
  • Napenda Ulicho nacho, kile Ulicho.
  • Nataka Uwe maisha yangu.
  • Nitakuruhusu Uchukue moyo wangu.
  • Ah! Nakupenda, nakupenda.
  • Mapenzi Yako yamenishinda,
  • kwa hivyo nina bahati kukamilishwa
  • ili niutosheleze moyo Wako.
  • Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe!
  • Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe!
  • Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe!
  • Haleluya! Haleluya! Haleluya! Mungu asifiwe!
  •  
  • kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni