Jumatano, 5 Septemba 2018

swahili worship songs | Wimbo wa Kifuasi cha Dhati

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, nyimbo za sifa,

  • I
  • Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
  • Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.
  • Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote.
  • Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.
  • Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
  • Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.
  • Hekima Yake, uadilifu Wake, nayapenda yote.
  • Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.
  • Moyo wake, Upendo wake, vimefanya nishindwe.
  • Mpe upendo, mfuate Yeye, ah mpendwa wangu.
  • Nampenda, najihisi mtamu, teseka kwa ajili Yake.
  • Mpate, ishi kwa ajili Yake, mpende milele.
  • II
  • Moyo wangu, Alioupewa, nahisi furaha.
  • Nafsi yangu nzima kuishi kwa ajili Yake, haya ni maisha yangu.
  • Kumpenda, kumtumikia, heshima kubwa kwangu.
  • Moyo wangu hautaki kingine chochote, nimetosheka.
  • Yajali mapenzi Yake, fikra zake, na mahangaiko Yake.
  • Ni mapenzi yangu kumpendeza na kumtosheleza Mungu.
  • Mimi huhudumu katika nyumba ya Mungu, nikitimiza wajibu.
  • Humtii, kuwa mwaminifu kwake, na kujitolea.
  • Moyo wake, Upendo wake, vimefanya nishindwe.
  • Mpe upendo, mfuate Yeye, ah mpendwa wangu.
  • Nampenda, najihisi mtamu, nateseka kwa ajili Yake.
  • Mpate, ishi kwa ajili Yake, mpende milele.
  •  
  • kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Sikiliza zaidi: Kanisa la Mwenyezi Mungu | swahili worship songs

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni