Jumatatu, 15 Oktoba 2018

204. Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo
I
Kupata mwili kwa Mungu kutachukua kiini na maonyesho ya Mungu.
Na Atakapofanywa kuwa mwili Ataleta kazi ambayo Amepewa
ili kuonyesha kile Alicho, kuleta ukweli kwa wanadamu wote,
kuwapa uzima na kuwaonyesha njia.
Mwili wowote usiokuwa na kiini Chake hakika sio Mungu mwenye mwili.
II
Hakikisha mwili wa Mungu na njia ya kweli kwa tabia Yake, maneno na kazi.
Lenga kiini Chake badala ya kuonekana Kwake.
Ni upumbavu na ujinga kulenga kuonekana kwa nje kwa Mungu.
Kuonekana kwa nje hakuamui kuhusu upande wa ndani,
na kazi ya Mungu haipatani na dhana za mwanadamu.
III
Je, kuonekana kwa Yesu hakukuwa tofauti na kile ambacho watu walitarajia?
Je, sura Yake na mavazi hayakuficha utambulisho Wake?
Je, hiyo sio sababu iliyofanya Wafarisayo kumpinga?
Walilenga kuhusu jinsi Alivyofanana na hawakutilia maanani kile Alichosema.
IV
Mungu anatarajia kuwa ndugu wanaotafuta kuonekana Kwake hawatarudia historia.
Usifuate Wafarisayo na umpige Mungu msumari msalabani kwa mara nyingine.
Hivyo amua kwa uangalifu jinsi utakavyokaribisha kurudi Kwake tena.
Kuwa na wazo halisi ya jinsi utakavyoutii ukweli.
Ni jukumu la kila mmoja ambaye anangoja kurudi kwa Yesu.
kutoka kwa "Dibaji" katika Neno Laonekana katika Mwili

Kujua zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni