Ijumaa, 19 Oktoba 2018

150. Upendo na Kiini cha Mungu ni Vikarimu

Mungu anatoa kilicho bora zaidi, Anatoa upande Wake ulio mzuri.
Vitu vizuri, vitu vizuri zaidi, Anatoa.
I
Bila kufichua ama kuonyesha kuteseka Kwake.
Mungu, Anavumilia, Akingoja kwa kimya.
Sio baridi ama Aliyeganda, sio dalili ya unyonge.
Kiini cha Mungu na upendo Wake ni mkarimu kila wakati.
Mungu anatoa kilicho bora zaidi, Anatoa upande Wake ulio mzuri.
Vitu vizuri zaidi, vitu vizuri zaidi, Anatoa.
Kwa binadamu wote, Ateseka; Anateseka, Akivumilia kwa kimya.
Anatoa kwa kimya, Anatoa Vyake vilivyo bora zaidi.
II
Bila kufichua ama kuonyesha kuteseka Kwake.
Mungu, Anavumilia, Akingoja kwa kimya.
Hili ni onyesho la kiini Chake na tabia,
la kili Alicho kweli: Muumba wa vitu vyote.
Mungu anatoa kilicho bora zaidi, Anatoa upande Wake ulio mzuri.
Mungu anatoa kilicho bora zaidi, Anatoa upande Wake ulio mzuri.
Kwa binadamu wote, Ateseka; Anateseka, Akivumilia kwa kimya.
Anatoa kwa kimya, Anatoa Vyake vilivyo bora zaidi.
Mungu anatoa kilicho bora zaidi, Anatoa upande Wake ulio mzuri.
III
Mungu anatoa kilicho bora zaidi, Anatoa upande Wake ulio mzuri.
Vitu vizuri, vitu vizuri zaidi, Anatoa.
Kwa ajili ya binadamu wote, Anateseka; Anateseka, Akivumilia kwa kimya, Anatoa kwa kimya.
Akivumilia kwa kimya, Anatoa kwa kimya;
Mungu anatoa kilicho bora zaidi, Anatoa upande Wake ulio mzuri.
kutoka kwa "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I" katika Mwendelezo wa Neno Laonekana katika Mwili

Jifunze zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni