Kazi ya Mungu sasa ni kunena, hakuna ishara tena, wala maajabu. Sio Enzi ya Neema. Mungu ni wa kawaida na halisi. Katika siku za mwisho Yeye sio Yesu asiye wa kawaida, lakini ni Mungu wa vitendo katika mwili, hakuna tofauti na mtu. Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu ni kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo. Ndiyo, ni matamshi ya Mungu yanayomshinda na kumkamilisha mtu. Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao. Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua. Katika kila enzi Mungu anaonyesha tabia tofauti, Sehemu tofauti ya matendo Yake. Lakini yote, bado yanatoa ujuzi Wake wa kina. imani thabiti na ya unyenyekevu katika Mungu. Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu ni kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo. Ndiyo, ni matamshi ya Mungu yanayomshinda na kumkamilisha mtu. Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao. Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua. Elewa uhalisi Wake, elewa tabia Yake ni kwa kujua tu matendo Yake halisi, jinsi Anavyofanya kazi na kuongea, kutumia hekima Yake, kuwafanya watu wakamilifu. Elewa Anavyotenda kazi juu ya mtu, elewa Anavyopenda na Asivyopenda. Hili linaweza kusaidia kutofautisha mazuri na mabaya, na kupitia ufahamu huu wa Mungu kuna maendeleo katika maisha yako. Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu ni kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo. Ndiyo, ni matamshi ya Mungu yanayomshinda na kumkamilisha mtu. Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao. Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua. Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu ni kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo. Ndiyo, ni matamshi ya Mungu yanayomshinda na kumkamilisha mtu. Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao. Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua.
kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili
Sikiliza nyimbo: Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni