Ijumaa, 21 Desemba 2018

134. Kutoa Sadaka ya Thamani Sana kwa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

134. Kutoa Sadaka ya Thamani Sana kwa Mungu

I
Baada ya miaka ya shida, kuadibiwa na kusafishwa,
mwanadamu hatimaye amedhoofika; utukufu, na mahaba, sasa yamepotea.
Sasa anaelewa ukweli wa kuwa mwanadamu na ibada ya Mungu.
Na hivyo anatoa sadaka ya thamani sana kwa Mungu wake,
ambaye anamtabasamia.
Na hivyo anatoa sadaka ya thamani sana kwa Mungu wake,
ambaye anamtabasamia.
II
Anachukia uovu wake, anachukia ukatili wake
na kuelewa vibaya, na madai ya Mungu.
Hawezi kugeuza wakati, au kubadilisha majuto yake yote.
Lakini neno la Mungu na upendo unampa maisha mapya.
Na hivyo anatoa sadaka ya thamani sana kwa Mungu wake,
ambaye anamtabasamia.
Na hivyo anatoa sadaka ya thamani sana kwa Mungu wake,
ambaye anamtabasamia.
III
Kila siku, majeraha ya mwanadamu hupona, nguvu inamrudia.
Anasimama, akikazia macho uso wa mwenye Uweza,
ila anatambua tu Mungu daima amekuwa hapa,
tabasamu Yake na upendo Wake bado ni mzuri sana.
Na hivyo anatoa sadaka ya thamani sana kwa Mungu wake,
ambaye anamtabasamia.
Na hivyo anatoa sadaka ya thamani sana kwa Mungu wake,
ambaye anamtabasamia.
IV
Moyo Wake unashikilia mashaka ya mwanadamu; mikono Yake yana joto na nguvu,
kama yalivyokuwa tangu mwanzo.
Ni kama mwanadamu amerejea kwenye Bustani ya Edeni.
Anampinga ibilisi, anamrudia Yehova.
Na hivyo anatoa sadaka ya thamani sana kwa Mungu wake,
ambaye anamtabasamia.
Na hivyo anatoa sadaka ya thamani sana kwa Mungu wake,
ambaye anamtabasamia.
Eh! Bwana Wangu! Mungu Wangu!
kutoka katika "Mwanadamu Anaweza Kuokolewa tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu" katika Neno Laonekana katika Mwili
Sikiliza nyimbo: Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu , Video za Nyimbo za Dini

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni