Jumamosi, 16 Februari 2019

Wimbo wa dini "Ni Wakati Tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake"




Wimbo wa dini | "Ni Wakati Tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake"
Ni Wakati tu Mungu anapojinyenyekeza kwa kiwango fulani, kumaanisha Anakuwa mwili ili kuishi kati ya wanadamu, ndipo wataweza kuwa wasiri Wake, ndipo watakuwa marafiki Zake wa karibu. Mwanadamu anawezaje kupata sifa ya kuwa mwandani wa Mungu Wakati Mungu ni wa Roho, metukuka na mgumu kumwelewa? Ni kwa kuwa tu mwili ulioumbwa sawa na mwanadamu mwanadamu ataweza mapenzi Yake, na kupatwa na Yeye. cungu hunena na kufanya kazi katika mwili, Akishiriki furaha, huzuni na dhiki ya mwanadamu, Akiishi katika dunia yao, Akiwalinda na kuwaongoza, hivyo Akiwatakasa wapate baraka Yake na wokovu. Mwanadamu anawezaje kupata sifa ya kuwa mwandani wa Mungu Wakati Mungu ni wa Roho, metukuka na mgumu kumwelewa? Ni kwa kuwa tu mwili ulioumbwa sawa na mwanadamu mwanadamu ataelewa mapenzi Yake, na kupatwa na Yeye. Kupitia haya, mwanadamu anaweza kuelewa mapenzi ya Mungu na kuwa mwandani Wake; hili tu ndo la utendaji. Kama Mungu angekuwa asiyeonekana na asiyeguswa na mwanadamu, mwanadamu angekuwaje mwandani Wake? Je, fundisho hili ni bure? Mwanadamu anawezaje kupata sifa ya kuwa mwandani wa Mungu Wakati Mungu ni wa Roho, metukuka na mgumu kumwelewa? Ni kwa kuwa tu mwili ulioumbwa sawa na mwanadamu mwanadamu ataelewa mapenzi Yake, na kupatwa na Yeye. Ni Wakati tu Mungu anapokuwa mwili, ndipo mwanadamu takuwa msiri Wake.
kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Sikiliza nyimbo: nyimbo za dini
Yaliyopendekezwa: Wimbo wa Kuabudu | "Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee" | How to Know God

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni