Ijumaa, 1 Machi 2019

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima Tamko la Kumi na Saba"



Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima Tamko la Kumi na Saba"
Mwenyezi Mungu anasema, “Binadamu wote wanatamani kuona uso Wangu, lakini Nishukapo Mwenyewe duniani, wote wanakirihishwa na ujio Wangu, wote wanaufukuza mwangaza usije, kana kwamba Mimi ni adui ya mwanadamu mbinguni. Mwanadamu ananisalimu na mwangaza wa kujikinga machoni mwake, na daima anabaki katika tahadhari, akihofia sana kwamba Naweza kuwa na mipango mingine kwake. Kwa sababu binadamu wananiona kama rafiki asiyejulikana, wanahisi kwamba Nina nia ya kuwaua bila kujali. Katika macho ya mwanadamu, Mimi ni adui wa mauti. Baada ya kuonja joto Langu katikati ya msiba, mwanadamu hata hivyo bado hafahamu pendo Langu, na bado ameamua kunifukuza na kunikaidi."

Tazama zaidi: Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima - Tamko la Ishirini na Sita, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni