Jumapili, 24 Novemba 2019

Wimbo wa Maneno ya Mungu Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu


  • I
  • Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu,
  • na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
  • Wakati huo huo,
  • Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia.
  • Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
  • kila hatua ya mwanadamu,
  • kila kitu anachosema na kufanya.

  • Mungu anamjua mwanadamu
  • kama kiganja cha mkono Wake.
  • Mahali pa siri ni makao ya Mungu,
  • anga ndicho kitanda Mungu akilaliacho.
  • Nguvu ya Shetani haiwezi kumfikia Mungu,
  • kwani Yeye amejawa na utukufu, haki, na hukumu.
  • II
  • Mungu amekanyaga vitu vyote na miguu Yake,
  • Yeye ananyosha mtazamo Wake juu ya ulimwengu.
  • Na Mungu ametembea kati ya wanadamu,
  • ameonja utamu na uchungu,
  • ladha zote za dunia ya mwanadamu;
  • lakini wanadamu,
  • kamwe hawakumtambua Mungu kweli,
  • wala hawakumwona Mungu
  • alipokuwa akitembea ughaibuni.
  • Kwa sababu Mungu alikuwa kimya,
  • na hakufanya matendo yasiyo ya kawaida,
  • hivyo, hakuna aliyemwona kweli.
  • Vitu haviko vilivyokuwa awali:
  • Mungu anaenda kufanya vitu ambavyo,
  • katika enzi zote, ulimwengu haujawahi kuona,
  • Mungu anaenda kunena maneno ambayo,
  • katika enzi zote, wanadamu hawajawahi kusikia,
  • kwa sababu Yeye anawataka binadamu wote
  • waje kumjua Mungu katika mwili.
  •  
  • kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni