Jumapili, 17 Novemba 2019

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu"

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu"

Mpaka siku moja,
utahisi kuwa Muumba sio fumbo tena,
kwamba Muumba hajawahi kufichwa kutoka kwako,
kwamba Muumba hajawahi kuificha sura Yake kutoka kwako,
kwamba Muumba hayuko mbali na wewe hata kidogo,
kwamba Muumba siye Yule unayemtamania katika mawazo yako
lakini kwamba huwezi kumfikia na hisia zako,
kwamba Anasimama kwa kweli kama mlinzi kulia na kushoto kwako,
Akiruzuku maisha yako, na kudhibiti majaliwa yako, kudhibiti majaliwa yako.
Hayuko katika upeo wa mbali, wala hajajificha juu mawinguni.
Yuko kando yako, akiwa na mamlaka juu ya kila kitu chako,
Yeye ni kila kitu ulicho nacho, na Yeye ni kitu pekee ulicho nacho.

Mungu kama huyo Anakukubali umpende kutoka moyoni,
umshikilie, umweke karibu, umtamani,
uhofu kumpoteza,
na kutotaka kumkataa tena, kutomtii tena,
ama kumwepuka tena ama kumweka mbali.
Kile unachotaka ni kumjali tu, kumtii,
kulipia kila kitu Anachokupa, na kujisalimisha katika himaya Yake.
Hukatai tena kuongozwa,
kupewa, kuangaliwa, na kuwekwa na Yeye,
hukatai tena Anachoamuru na kukitawaza kwako,
Anachoamuru na kukitawaza kwako.
Unachotaka tu ni kumfuata, kutembea kando Yake katika kushoto ama kulia Kwake,
ni kumfuata, kutembea kando Yake katika kushoto ama kulia Kwake,
kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako mmoja na wa pekee,
kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako mmoja na wa pekee,
Mungu wako mmoja na wa pekee.
Hukatai tena
Hukatai tena
Hukatai tena
Hukatai tena
Hukatai tena kuongozwa, kupewa, kuangaliwa, na kuwekwa na Yeye,
katai tena
katai tena
katai tena
katai tena
Anachoamuru na kukitawaza kwako, Anachoamuru na kukitawaza kwako.
Unachotaka tu ni kumfuata, kutembea kando Yake katika kushoto ama kulia Kwake,
kumfuata, kutembea kando Yake katika kushoto ama kulia Kwake,
kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako mmoja na wa pekee,
kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako mmoja na wa pekee, Mungu wako mmoja na wa pekee.
Unachotaka tu ni kumfuata, kutembea kando Yake katika kushoto ama kulia Kwake,
ni kumfuata, kutembea kando Yake katika kushoto ama kulia Kwake,
kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako mmoja na wa pekee,
kama Bwana wako mmoja na wa pekee, Mungu wako mmoja na wa pekee.
Mungu wako mmoja na wa pekee.

kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni