Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Fedha. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Fedha. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 19 Februari 2018

10. Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa

10. Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa

Wenzhong , Beijing
Agosti 11, mwaka wa 2012
Usiku wa Julai 21, mwaka wa 2012, tulikuwa na mafuriko makubwa hapa, ambayo hutokea kwa nadra. Ningependa kumwambia kila mtu aliye na kiu ya Mungu kile nilichokipitia kwa kweli na kukiona wakati huo.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Injili,
Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa





Siku hiyo mume wangu nami tuliutunza uga wa chakula kikavu cha mifugo wa dada yangu. Wakati wa usiku mvua nzito iliendelea kunyesha, na tulienda kulala mapema sana. Saa nne kasorobo usiku ndugu mkwe wangu wa kiume aliita akisema: “Wanaelekea kufungua hodhi!