Umeme wa Mashariki | Si Rahisi Kuwa Mtu Mwaminifu
Zixin Jiji la Wuhan, Mkoa wa Hubei
Kupitia kula na kunywa neno la Mungu na kusikiliza mahubiri, nilikuja kuelewa umuhimu wa kuwa mtu mwaminifu na hivyo nikaanza kufanya mazoezi kuwa mtu mwaminifu. Baada ya muda, niliona kuwa nilipata kuingia kiasi katika kuwa mtu mwaminifu. Kwa mfano: Wakati wa kuomba au kuzungumza na mtu, ningeweza kuongea ukweli na kutoka kwa moyo; niliweza pia kuchukulia kutekeleza wajibu wangu kwa uzito, na wakati nilipofichua upotovu niliweza kujiweka wazi kwa watu wengine. Kwa sababu ya hili, nilifikiri kuwa mtu mwaminifu lilikuwa jambo rahisi sana kutenda, na sio vigumu hata kidogo kama ilivyodaiwa kuwa na maneno ya Mungu: