Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kufanya-kazi-zao. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kufanya-kazi-zao. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 31 Desemba 2017

Umeme wa Mashariki | Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo | kutoka kwa Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

 Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu,  ukweli,
 Umeme wa Mashariki | Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo

8. Umeme wa Mashariki | Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo

Wuxin Mji wa Taiyuan, Mkoa wa Shanxi
Kitu ambacho tumezungumzia mara kwa mara katika ushirikiano wa awali ni njia ambazo zilitembewa na Petro na Paulo. Inasemekana kwamba Petro alizingatia kujijua mwenyewe na kumjua Mungu, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimpenda, ilhali Paulo alizingatia tu kazi yake, sifa na hadhi yake, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimdharau. Daima nimekuwa na hofu ya kuitembea njia ya Paulo, ambayo ndiyo sababu mimi kwa kawaida mara nyingi husoma maneno ya Mungu kuhusu uzoefu wa Petro ili kuona jinsi alivyopata kumjua Mungu. Baada ya kuishi hivi kwa muda, nilihisi kwamba nilikwishakuwa mtiifu zaidi kuliko hapo awali, hamu yangu ya sifa na hadhi ilikuwa imedidimia, na kwamba nilikuwa nimepata kujijua kidogo