13. Yesu Ala Mkate na Kuonyesha Maandiko Baada ya Kufufuka Kwake
![]() |
| Bwana Yesu aliyefufuliwa alichukua samaki |
(Luka 24:30-32) Ikawa kwamba, alipokuwa ameketi nao kwa ajili ya chakula, alichukua mkate, na akaubariki, na akaumega, na akawapa. Na macho yao yakafumbuliwa, na wakamfahamu; kisha akatoweka machoni pao. Kisha wakaambiana, je, Mioyo yetu haikuwaka moto ndani yetu, hapo alipokuwa akisema nasi njiani, na alipotufunulia maandiko?
