Swahili Christian Testimony Video "Utamu katika Shida" | Mungu Ndiye Nguvu Wangu
Utambulisho
![]() |
| Utamu katika Shida |
Han Lu ni kiongozi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu katika China bara. Ameamini katika Mungu kwa zaidi ya muongo mmoja na amepitia kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Anaelewa baadhi ya ukweli na anajua kwamba ni kupitia tu Kristo wa siku za mwisho, Mwenyezi Mungu, ndiyo mwanadamu ataweza kuwekwa huru kutoka dhambini na kuishi maisha yenye maana. Ametupa mbali kila kitu kumfuata Mwenyezi Mungu, na ametembea huku na huku na kushuhudia kuonekana kwa Mungu na kazi katika siku za mwisho. Hata hivyo, nchini China ambako chama cha kisiasa kikanamungu cha CCP kiko mamlakani, hakuna uhuru wa imani ya dini kwa vyovyote. Serikali ya CCP imetoa hati za siri ikipiga marufuku kabisa makanisa yote ya nyumbani, na wamewakamata kwa hasira na kuwatesa Wakristo. Han Lu na wengine walichunguzwa na kufuatwa na maafisa wa polisi wa CCP, ambayo ilisababisha kukamatwa kwao.
