Talii Umeme wa Mashariki
Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudiwa, Kristo aliyezaliwa katika mwili.
Kurasa
Nyumbani
Umeme wa Mashariki | KUHUSU SISI
Umeme wa Mashariki | VITABU
Umeme wa Mashariki | VIDEO
Umeme wa Mashariki | Video-ya-Muziki
Umeme wa Mashariki | Usomaji wa Maneno ya Mwenyezi Mungu
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo
Kuelewa-ukweli
.
Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo
Kuelewa-ukweli
.
Onyesha machapisho yote
Jumapili, 25 Februari 2018
Swahili Christian Song "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu
Swahili Christian Song "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu
Utambulisho
Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu
na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha.
Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka.
Mimi niko bila uhasi wowote,
sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa.
Ninauunga mkono wajibu wangu
kwa moyo wangu wote na mawazo, na siujali moyo.
Ingawa ubora wa tabia yangu ni wa chini,
nina moyo wa uaminifu.
Nimejitolea kikamilifu katika kila kitu
ili kuyaridhisha mapenzi ya Mungu.
Soma zaidi »
Machapisho ya Zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)